Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile
Omar Said Shaaban

@omarshaaban80

ACT Wazalendo Principal Legal Counsel and Minister for Trade and Industrial Development (SMZ)

ID: 4041803781

linkhttp://www.saidattorneys.com calendar_today25-10-2015 22:06:29

2,2K Tweet

8,8K Followers

636 Following

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

"Kuelekea Uchaguzi Mkuu mabadiliko ya kisheria hayawezi kufanyika, lakini yapo mabadiliko yanayoweza kufanyika. Mambo ya kitawala. Mfano namna ya kuchapisha karatasi za kura, Wakurugenzi kutosimamia uchaguzi." Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Bara Isihaka Mchinjita Oktoba

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Katika Ziara tunayoendelea nayo ya Operesheni Maji Maji - Siku 30 za kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura zao, tumesikiliza kero za wananchi. Kero kubwa mojawapo ni wanyama Tembo kuvamia mashamba ya watu na kubaribu mazao na hata kusababisha vifo. Nikiwa Namasakata,

Friedrich Naumann Foundation Africa (@fnf_africa) 's Twitter Profile Photo

#Zanzibar / #Tanzania "Across East Africa, the promise of democratic transition is moving in a dangerous direction. We believe in the power of the voters' mandate to determine the government ... the people want their voices to be heard." freiheit.org/tansania/zanzi… … Ismail Jussa

Ismail Jussa (@ismailjussa) 's Twitter Profile Photo

#Zanzibar #Elections - A robust observation mission will enable future generations to look back on the 2025 election not as another chapter of frustration but instead as a turning point toward democratic commitment and enduring stability. Mail & Guardian mg.co.za/thought-leader…

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya Operesheni Maji Maji Oktoba, #LindaKura imetufikisha Manispaa ya Mtwara Mikindani. Moja ya sura ya Kitabu ninachoandika kwa muda sasa, Sura Ya Nne, inaitwa ...Na Mpaka Ni Mbwemkuru....! Katikati ya harakati za watu wa Mtwara kupigania rasilimali zao mwaka 2012/13

Leo nimehitimisha ziara ya Operesheni Maji Maji katika Awamu ya Mikoa ya Tabora, Katavi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Selous, Mtwara, Lindi na Mwambao. Nimezungumza na watu wa Ikwiriri, Rufiji. Hii ndio hotuba yangu ya kuhitimisha ziara yetu ya siku 15 ====================== OPERESHENI

Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Kwangu Mimi haya ni zaidi ya mashindano. Ni mchakato wa kuvumbua vipaji, ni mwanzo wa safari ya kuwekeza kwenye Ndoto za Vijana wa Pangawe zilizokatishwa tamaa. #Tumedhamiria #Tunathubutu #Tunakuja

Bingwa amepatikana, Vipaji vimeonekana, Umoja na Mshikamano ulitawala, furaha ilitamalaki na Ujumbe umefika. #BandikaBandua Pangawe Cup 2025.

Bingwa amepatikana, Vipaji vimeonekana, Umoja na Mshikamano ulitawala, furaha ilitamalaki na Ujumbe umefika. #BandikaBandua Pangawe Cup 2025.
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

ACT-Wazalendo national chairperson, Mr Othman Masoud Othman, has declared 2025 a pivotal year for Zanzibar’s political future, urging citizens to reject corrupt leadership and restore integrity to public office. thecitizen.co.tz/tanzania/zanzi…

ACT-Wazalendo national chairperson, Mr Othman Masoud Othman, has declared 2025 a pivotal year for Zanzibar’s political future, urging citizens to reject corrupt leadership and restore integrity to public office.

thecitizen.co.tz/tanzania/zanzi…