HP wa zamani (@odompopodo) 's Twitter Profile
HP wa zamani

@odompopodo

Freedom fighter/Human Rights/Fight for Democracy

ID: 844095571078135808

calendar_today21-03-2017 07:57:21

19,19K Tweet

3,3K Followers

5,5K Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_SHAURI_LA_KUPINGA_MASHAIDI_KUFICHWA Part 1 Shauri la kupinga mashahidi kufichwa kwenye kesi ya uchochezi kule kisutu. Ipo Mbele ya Judge Mkwizu. Mawakili wa Serikali ambao ni wajibu maombi wanaongozwa na Nasoro Katuga, Job Mrema, Cathbert Mbiringe na Winiwa kasawa

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Kijana Hussein Abdallah Mkwame (26) mkazi wa eneo la Ungindoni -Kongowe, wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani alipo baada ya watu wasiojulikana kumkamata na kuondokanae tangu Mei 19 mwaka huu Mzee Abdallah Omary Mkwame mkazi wa

HP wa zamani (@odompopodo) 's Twitter Profile Photo

Kwa kweli kama nia ni kuumiza mioyo ya watu basi imeshindikana Yani unaungana na adui wa ndugu yako ili mumuumize vizuri? aisee siasa sio sasa ni siasa

HP wa zamani (@odompopodo) 's Twitter Profile Photo

Wakiongea vyuoni mnawatisha na kuwapa kesi kubwa kubwa wakiongea mtaani wanatekwa mtarudishaje na mmetengeneza kundi la machawa watu wasioamini kushindana kwa hoja mnaamini kwenye kusifia

Wakiongea vyuoni mnawatisha na kuwapa kesi kubwa kubwa
wakiongea mtaani wanatekwa
mtarudishaje na mmetengeneza kundi la machawa 
watu wasioamini kushindana kwa hoja mnaamini kwenye kusifia
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ameshiriki katika uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025–2050 kwa lengo la kujionea namna ambavyo maoni yake aliyowahi kuyatoa yamezingatiwa katika maandalizi ya nyaraka hiyo muhimu kwa

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

REFORMS will bring sanity REFORMS will bring accountability REFORMS will bring transparency REFORMS will bring justice REFORMS will bring rule of law REFORMS will fight corruption REFORMS will decentralize power REFORMS will strengthen democracy NO REFORMS, NO ELECTION.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Wasee, hebu tuambiane ukweli kwa mara moja.Kila siku ni kelele za pombe, malaya, miziki ya kipuuzi, na vibes zisizo na maana.Taifa linaungua, watu wanateseka nyie mko bize na nani kapost nini na nani kanunua viatu vya bei gani. Mnatoka wapi na roho ngumu hivi? Halafu cha

HP wa zamani (@odompopodo) 's Twitter Profile Photo

sasa kumbe utekaji upo na hamtaki watu wakemee au waseme upo kwa hiyo Police Force TZ ilimkukomesha utekaji tununue silaha sisi au tuendelee kuwaamini nyie wenye silaha mtulinde? mmeahindwa kazi ya kuwakamata watekaji?

sasa kumbe utekaji upo na hamtaki watu wakemee au waseme upo
kwa hiyo <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> ilimkukomesha utekaji tununue silaha sisi au tuendelee kuwaamini nyie wenye silaha mtulinde?
mmeahindwa kazi ya kuwakamata watekaji?
HP wa zamani (@odompopodo) 's Twitter Profile Photo

Biashara yenye wateja wengi na bado inakufa ina wateja wanaoteseka kusaka bidhaa hata kwa kuhatarisha maisha na bado wanalipa march nimetoka kwetu mwakareli nafika hapo kimara napewa tiketi ya 750/= nalipa buku hakuna chenji na bado nimesimama hadi posta

HP wa zamani (@odompopodo) 's Twitter Profile Photo

Mungu aliyeumba dunia na akatufanya tuzaliwe Tanzania basi akaitoe nchi hii katika mateso makubwa kitambo kidogo tutamwona na upanga mkononi akiyaondoa magugu ili ngano safi imee vizuri