Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile
Dr Calipso

@nulphin

SDA || Doctor || Psychologist || Family and Marriage therapist || Helping spouse save their marriage. Sharing insights on my 6+ years of happy marriage.

ID: 844147819682390016

calendar_today21-03-2017 11:24:58

44,44K Tweet

48,48K Followers

4,4K Following

davidmcallister (@davidmcallister) 's Twitter Profile Photo

Should anything happen to Tundu Lissu during is detention, the Government of the United Republic of Tanzania will be held accountable. The world is watching! (2/2) #HumanRights #Tanzania #FreeTunduLissu Samia Suluhu

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

ALERT: It's so sad that Tanzania & DRC are for Chinese to loot. Mr. Mombo & the TISS are sitting baboons doing nothing.They are so good with their fake intelligence when it comes to the opposition. Chinese Communist Party & their security apparatus is now exposing their ineptness

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

NINI KAZI YA MAHAKAMA IKIWA WATU WANAUAWA KIRAHISI HIVI?🤔🤔 From G.J.Malisa Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni Afisa

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Kwa alichofanyiwa huyu dogo siku kiongozi yoyote wa CCM akikatisha kwenye mitaa ya OT aiseee nitalipiza kisasi na kuandika PE kama cause of DEATH. Nimepata uchungu sanaaaa kuanzia leo naanza kua Jasusi rasmi kudadeki.

MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Aliyekua Mwanasheria Mkuu wa serikali (AG) Dr.Adelarus Kilangi (LLD) akiwa na makada wenzie wa CCM waliotia nia ya ubunge jimbo la Nyamagana. Juzi tumemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi (NEC) Dr.Wilson Mahera akichukua fomu ya ubunge Butiama kupitia CCM, leo tumemuona

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hili bunge maCCM yalikuwa yanapitia wakati mgumu sana. 🤣🤣🤣 Ndiomaana hayataki uchaguzi huru na haki yanajua kabisa mbunge mmoja wa upinzani ni sawa na wabunge 10 wa maCCM. saizi bunge limejaa wazee kugonga meza na kupiga masifa masaa yote yakipata nafasi. Lazima turudishe

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

#Confirmed✅️ Kijana mwenzetu SIR JEFF⚡🇹🇿 amekamatwa Police Force TZ akiwa Mafinga, akasafirishwa hadi Dar, akalazwa Kilwa Road. Jana kafikishwa mahakamani (Kisutu) kwa tuhuma za "Uhujumu uchumi". Achilia mbali tofauti zetu, bwana mdogo sio jambazi, anahitaji msaada wetu. #FreeSirjeff_D

#Confirmed✅️

Kijana mwenzetu SIR JEFF⚡🇹🇿 amekamatwa Police Force TZ akiwa Mafinga, akasafirishwa hadi Dar, akalazwa Kilwa Road. Jana kafikishwa mahakamani (Kisutu) kwa tuhuma za "Uhujumu uchumi". Achilia mbali tofauti zetu, bwana mdogo sio jambazi, anahitaji msaada wetu.
#FreeSirjeff_D
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

"Naambiwa Kijana SIR JEFF⚡🇹🇿 amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Mafinga baada ya kutoka Kitulo, juzi usiku kalazwa kituoni Kilwa Road. Nasikia muda wowote anafikishwa KISUTU, kwa kesi ya kesi ya uhujumu uchumi."-; JAPHET MATARRA

Kuna siku nilisema “AKIFA KIKWETE HATA KAMA HATUTAKUWEPO, MTAKAOKUWEPO MFANYE SHEREHE” Huyu mzee ndio ANAHARIBU hili taifa. Huyu ndio KIBAKA namba moja wa nchi. Familia yake ipo BUNGENI kwanzia mke mpaka watoto. Na mke wake amesema HATOKI bungeni leo wala kesho. JAJI MKUU WA

Kuna siku nilisema “AKIFA KIKWETE HATA KAMA HATUTAKUWEPO, MTAKAOKUWEPO MFANYE SHEREHE”

Huyu mzee ndio ANAHARIBU hili taifa. Huyu ndio KIBAKA namba moja wa nchi.

Familia yake ipo BUNGENI kwanzia mke mpaka watoto. Na mke wake amesema HATOKI bungeni leo wala kesho.

JAJI MKUU WA
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kwa hio humu kuna watu mmeshajimilikisha nyie ndio mnapaswa tu kupost mambo ya #NRNE ?? Wewe KIDUKU mbona huwa unapost mambo ya Lissu alafu unaweka na biashara zako kwenye comment ? Tukisema unatumia upepo wa Lissu kupost biashara zako- tutakuwa

#TajiriLaKihaya

Kwa hio humu kuna watu mmeshajimilikisha nyie ndio mnapaswa tu kupost mambo ya #NRNE ??

Wewe KIDUKU mbona huwa unapost mambo ya Lissu alafu unaweka na biashara zako kwenye comment ?

Tukisema unatumia upepo wa Lissu kupost  biashara zako- tutakuwa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Haya sio MABANDA YA NGURUWE ni airport ya KIGOMA. Hapo ndio anaposhukia MAKAMU WA RAISI kila anapoenda jimboni kwake. Uchafu kama huu ndio tunaambiwa “Mama hana deni”. Stand za bus mfano ABC ni nzuri kuliko airport ya KIGOMA. Uwakute sasa kwenye UCHAWA wanapiga kelele kama

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Ninasemaga kila siku lowassa alisema ELIMU ELIMU ELIMU Hawa viongozi wa Kiislamu wengi shule darasa la saba, ata kua smart shughuli ndevu ka still wire, mswaki last time ni 5 years ago yaan ni watu wa Hovyo uislam unahitaji Reforms viongozi waende shule

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

WAUMINI WA ASKOFU GWAJIMA TUMEFIKA KWA WINGI SANA HAPA UBUNGO. KARIBU MPENDA HAKI, TUNAENDELEA NA IBADA. TUTAKUWEPO🫵😎

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Kama hii ndio Airport ya kigoma Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ilitakiwa awe wa kwanza kusema No reform no Election. Ona Baba Levo anavyoona Aibu kurekodiwa hataki kabisa