King Niel Sahini IV (@ntwhali) 's Twitter Profile
King Niel Sahini IV

@ntwhali

Nolite iudicare, ut non iudicemini |Arsenal Fan|Reader|Movieholic|Taurus ♉ | I love science..... E=mc² ✍🏽

ID: 253995251

calendar_today18-02-2011 12:06:10

30,30K Tweet

1,1K Followers

909 Following

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

UTEUZI: Rais Samia amemteua Dkt. Eveline Wilbard Munisi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Eveline ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi alikuwa mgombea mwenza wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

UTEUZI: Rais Samia amemteua Dkt. Eveline Wilbard Munisi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dkt. Eveline ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi alikuwa mgombea mwenza  wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kuwa mzalendo kwenye hili taifa ni USENGE. Unakuwa mzalendo unalipa KODI afu zinaenda kuliwa na MAJAMBAZI ambayo kesho yanapewa vyeo na hamna cha kufanya. Ukipata nafasi ya KUKWEPA KODI itumie vizuri sana—hii sio nchi ni PANGO LA VISHOKA.

Kuwa mzalendo kwenye hili taifa ni USENGE.

Unakuwa mzalendo unalipa KODI afu zinaenda kuliwa na MAJAMBAZI ambayo kesho yanapewa vyeo na hamna cha kufanya.

Ukipata nafasi ya KUKWEPA KODI itumie vizuri sana—hii sio nchi ni PANGO LA VISHOKA.
PLANET B (@m31327mugisha) 's Twitter Profile Photo

Aliye iroga Tz na yeye alirogeka. Asante Mungu kuleta kifo, uzee na maradhi kwa watu jeuri. Haya yote mwisho wake upo na tutayashuhudia. Asante sana ngoja tuone.

Aliye iroga Tz na yeye alirogeka.  Asante Mungu kuleta kifo, uzee na maradhi kwa watu jeuri. Haya yote mwisho wake upo na tutayashuhudia. Asante sana ngoja tuone.
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Nchi hii ishakuwa shamba la bibi kila mtu anavuna! Au togwa ya ngomani iko kwenye kona hapo kila mtu anachota anakunywa tu! Haina mlinzi 😂😂😂 Au kama mwembe wa uani kila anayepita anaangua anakula anasepa!! Au sijui nini? Qmmmmmmmmk walahi, alafu hawana aibu wala nini!!!

Nchi hii ishakuwa shamba la bibi kila mtu anavuna!

Au togwa ya ngomani iko kwenye kona hapo kila mtu anachota anakunywa tu! Haina mlinzi 😂😂😂

Au kama mwembe wa uani kila anayepita anaangua anakula anasepa!!

Au sijui nini? Qmmmmmmmmk walahi, alafu hawana aibu wala nini!!!
Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏

👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/=

Wa.me/+255717251747
Au 0714336827

👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
.𝕏 (@trill_09) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏

👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/=

Wa.me/+255717251747
Au 0714336827

👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
MC nyeupe (@gegedu_) 's Twitter Profile Photo

Aliyefanikisha ununuzi wa silaha za kivita zilizoua ndugu zetu makumi elfu leo hii kapewa zawadi ya ubunge Na anaenda kuwa waziri wa mambo ya ndani Hii amepewa kama zawadi baada ya ushauri wake wa mauaji kufanikiwa na yule shetani kujiapiza kuwa rais Wakati wa ukombozi

Aliyefanikisha ununuzi wa silaha za kivita zilizoua ndugu zetu makumi elfu leo hii kapewa zawadi ya ubunge
Na anaenda kuwa waziri wa mambo ya ndani
Hii amepewa kama zawadi baada ya ushauri wake wa mauaji kufanikiwa na yule shetani kujiapiza kuwa rais

Wakati wa ukombozi
MTU MAKINI (@this_iz_lewis) 's Twitter Profile Photo

Men Jeans kalii MTUMBA | Delivery ✅ Nicheki 📞 0717634941 📍D'salaam Bunju B | Mikoani natuma Nisaidie REPOST yako ndugu 🙏🏾

Men Jeans  kalii MTUMBA | Delivery ✅
 
Nicheki 📞 0717634941  
📍D'salaam Bunju B | Mikoani natuma

Nisaidie REPOST yako ndugu 🙏🏾
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Wameingia mtini na Tume Ya Chande Muda wake umeisha Kwani mnaona aibu gani kutoa hiyo Report yetu iliyojaa ujinga ili mtaani watu wakasirike Kila mtu anasubiria hiyo Report ndio hajui ujinga wenu ni kiasi gani , wananchi wote wanajua kuna upuuzi mtu kuhusu vyama vya siasa,

Wameingia mtini na Tume Ya Chande Muda wake umeisha

Kwani mnaona aibu gani kutoa hiyo Report yetu iliyojaa ujinga ili mtaani watu wakasirike 

Kila mtu anasubiria hiyo Report ndio hajui ujinga wenu ni kiasi gani , wananchi wote wanajua kuna upuuzi mtu kuhusu vyama vya siasa,