Ntemijr (@ntemijr) 's Twitter Profile
Ntemijr

@ntemijr

Software Eng. | Entrepreneur

ID: 585954469

calendar_today20-05-2012 20:03:44

2,2K Tweet

305 Followers

755 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Rafiki angu MOHAMED JOHARI (Meddy) ni moja ya vijana wetu waliouwawa na polisi wakati wa maandamano ya Oktoba 29. Medy alikuwa ni Mwanachama wa Chadema Jimbo la Ilala, Nilifanya naye kazi mbalimbali za kujenga Chama Jimboni hasa za Baraza la Vijana (BAVICHA), Medy alikuwa ni

Rafiki angu MOHAMED JOHARI (Meddy) ni moja ya vijana wetu waliouwawa na polisi wakati wa maandamano ya Oktoba 29.

Medy alikuwa ni Mwanachama wa Chadema Jimbo la Ilala, Nilifanya naye kazi mbalimbali za kujenga Chama Jimboni hasa za Baraza la Vijana (BAVICHA), Medy alikuwa ni
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Hi guys, Kuhusiana na account zangu za Instagram na WhatsApp kufungiwa na meta tumeshauriwa kuwa ni muhimu tukawasiliana na bunge la Marekani na kwa wingi wetu tuwaombe wafanye congressional inquiry into meta’s actions after the Tanzania massacre in disabling accounts za

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

✊🏽🇹🇿 #D25 is the date. Peaceful protest to demand accountability, justice and #SamiaMustGo 🇹🇿 Gen-Z, tukutane December 25th. #MD25 #RudiTanganyika #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre

✊🏽🇹🇿 #D25 is the date. Peaceful protest to demand accountability, justice and #SamiaMustGo 

🇹🇿 Gen-Z, tukutane December 25th. #MD25 #RudiTanganyika

#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Jana MalisaGJ aliutaarifu umma juu ya watu waliovamia nyumbani kwao Kidia Moshi usiku wa manane. Leo tangu saa tatu Polisi wako hapo na wamemweka mama yake chini ya ulinzi wakiwa na waandishi wa habari kadhaa. Hakuna mtu anaruhusiwa kufika hapo hata majirani wamezuliwa.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Level tofauti kabisa! Nay wa Mitego na ‘Tupo Busy’ 🔥 Gen Z komaeni YouTube kumzalia support, wakuda wanajaribu kujua secret, Lakini Nay anacheza game ya pro 😎 Oyaaa , kama nyuki YouTube Now!!! Nay Lazima awe Top!

Level tofauti kabisa! Nay wa Mitego na ‘Tupo Busy’ 🔥 Gen Z komaeni YouTube kumzalia support, wakuda wanajaribu kujua secret, Lakini Nay anacheza game ya pro 😎 Oyaaa , kama nyuki YouTube Now!!! Nay Lazima awe Top!
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🔥 Trending number 1 in #Tanzania 🇹🇿 Trending number 24 in #Kenya 🇰🇪 Nadhani sasa mmeelewa na kuamini kuwa “Tupo busy”?! Hongera. Nay ✊🏽 #Naythetrueboy

🔥 Trending number 1 in #Tanzania 🇹🇿
Trending number 24 in #Kenya 🇰🇪
Nadhani sasa mmeelewa na kuamini kuwa “Tupo busy”?! 
Hongera. Nay ✊🏽 <a href="/naythetrueboy/">#Naythetrueboy</a>
M A G I R I (@kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

Kumchangia kiongozi aliyekaa mahabusu karibu mwaka mzima na kunyimwa uhuru wa kufanya shughuli ya kuingiza kipato ni kitendo cha kiungwana na kizalendo.

Kumchangia kiongozi aliyekaa mahabusu karibu mwaka mzima na kunyimwa uhuru wa kufanya shughuli ya kuingiza kipato ni kitendo cha kiungwana na kizalendo.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

MAMAE WALAHI WANANGU GEN Z HIZI SASA SIFA🔥🥳🥳 MNATAKA WALIOMFUNGA JELA BABA YETU TUNDU LISSU WAJIONE WAPUMBAVU HAWANA AKILI.🤣 WALIJUA WAKIMFUNGA BABA JELA KWA SIKU 270 TUTAMSAHAU WANASHANGAA GEN Z NDIO KWANZA WAMEAMUA KUFUNGA MWAKA NA LISSU. OYA MWAGA MOTO MAMAE KAMA

MAMAE WALAHI WANANGU GEN Z HIZI SASA SIFA🔥🥳🥳

MNATAKA WALIOMFUNGA JELA BABA YETU TUNDU LISSU WAJIONE WAPUMBAVU HAWANA AKILI.🤣

WALIJUA WAKIMFUNGA BABA JELA KWA SIKU 270 TUTAMSAHAU WANASHANGAA GEN Z NDIO KWANZA WAMEAMUA KUFUNGA MWAKA NA LISSU.

OYA MWAGA MOTO MAMAE KAMA
Revline Mbugi (@revlinembugi) 's Twitter Profile Photo

Siku kama ya Leo Mwakajana Vijana wa CHADEMA yaani BAVICHA waliniamini na kunichagua kwa Kura Nyingi. Struggle Must continue no matter what will happen.

Siku kama ya Leo Mwakajana Vijana wa CHADEMA yaani BAVICHA waliniamini na kunichagua kwa Kura Nyingi.

Struggle Must continue no matter what will happen.
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

OMG! OMG! Meta has unsuspended my WhatsApp account, +1 424 537 3057. For those who don’t understand the important of regaining access to this number is that, this is the number that Tanzanians were using to secretly share photos and videos of the election massacre that saw over

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON #NoDemocracyNoAFCON REPOST 200

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA. Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike. Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi🔥🔥🔥 REPOST 500 #NoDemocracyNoAfcon

AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA.

Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike.

Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi🔥🔥🔥

REPOST 500

#NoDemocracyNoAfcon