Norah (@norah03535567) 's Twitter Profile
Norah

@norah03535567

Never give up on something you really want. It's difficult to wait, but more difficult to regret.

ID: 1256933616472543232

calendar_today03-05-2020 13:08:53

13,13K Tweet

3,3K Followers

4,4K Following

Esi Lovey Sebastian (@esilovey) 's Twitter Profile Photo

Unaona Milango imefungwa? Huzuni na giza limetawala, basi Nuru imekaribia, Muombe Mungu huruma yake, na Mungu atarudisha NEEMA, KIBALI na ATAKUPA NAFASI YA UPENDELEO na popote utapopita utafanyika Baraka, Mungu ni Mwingi wa Rehma na hakuna lililo lako litakupita, BLESS YOU!...

Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 (@tinahcristiaan) 's Twitter Profile Photo

Heri ya siku ya Wafanyakazi 🥰🥰🥰Nawatakia heri wahangaikaji wenzangu Hakuna kukata tamaaa hata km milango yote kwa sasa imefungwa ..tengeneza mlango wako wafungulie wabishao🥰🙏... Nipeni hzo oder za ma site wapendwa wangu🫂 RT Iwafikie wengi🥰

Heri ya siku ya Wafanyakazi 🥰🥰🥰Nawatakia heri wahangaikaji wenzangu Hakuna kukata tamaaa hata km milango yote kwa sasa imefungwa ..tengeneza mlango wako wafungulie wabishao🥰🙏...
Nipeni hzo oder za ma site wapendwa wangu🫂
RT
Iwafikie wengi🥰
MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini Ndg Geofrey Kiliba ameomba Uongozi wa Chuo kupitia ofisi ya Mkurugenzi wa huduma za wanafunzi katika chuo husika na Serikali za wanafunzi kuweka mazingira rafiki ya kufikika na wanafunzi wote ambao wanashindwa kulipa

Norah (@norah03535567) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia Mtihani mwema KIDATO CHA SITA wote mnaounza kesho tarehe 5 Mei, 2025. Mungu awape afya njema kipindi chote cha MITIHANI. Myakumbuke mliyosoma na myakute. Matokeo yakawe faraja. Amina🙏🏻🙏🏻

OscarOscar (@mzeewakaliua) 's Twitter Profile Photo

Dear wachekeshaji, kumchekesha Mkuu wa nchi kunahitaji uchaguzi mzuri sana wa maneno na kuepuka kumzoea. Mkuu wa nchi hazoeleki! ASANTE

Handsome La Kijiji (@manenoizaak) 's Twitter Profile Photo

Huu ni zaidi ya UBINADAMU! Mambo anafanya huyu Ahmed Asas ni Mungu pekee anaweza kumlipa 🙌🙌🙌🙌🙌.......tuzidi kumuombea aendelee kuishi kwa ajili ya wengine 🙏🙏🙏🙏......

Huu ni zaidi ya UBINADAMU! Mambo anafanya huyu <a href="/ahmedsalimasas/">Ahmed Asas</a> ni Mungu pekee anaweza kumlipa 🙌🙌🙌🙌🙌.......tuzidi kumuombea aendelee kuishi kwa ajili ya wengine 🙏🙏🙏🙏......
CHOKA MBAYA 👑 (@hustlermkaleee) 's Twitter Profile Photo

Njia nzuri ya kumgundua rafiki wa kweli ni kumuangalia vile ana react pindi ukimsimulia habari zako njema , ukiona Hana uchangamfu jua ni nyoka huyo 🤔 .

John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Ni Maisha tu ndio yanatufanya tunakuwa mbali na Mama zetu lakini ni watu ambao tunamiss sana uwepo wao tunapokuwa mbali nao, ni zaidi ya tiba kwenye mioyo yetu. Mwenyezi-MUNGU Awajalie maisha marefu na kuwapumzisha salama Mama zetu wote waliotangulia mbele za haki.🙏