Noah Nsemwa (@noahnsemwa21226) 's Twitter Profile
Noah Nsemwa

@noahnsemwa21226

ID: 1910764107382632448

calendar_today11-04-2025 18:40:02

1 Tweet

2 Followers

230 Following

Mashibe ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mashibe_jr) 's Twitter Profile Photo

Au niunde group la No reform No election, hapa Twitter, tuwe tuna retweet post zote za No reform no Election, na za kupinga utekaji? Mtanisapot???

Au niunde group la No reform No election, hapa Twitter, tuwe tuna retweet post zote za No reform no Election, na za kupinga utekaji? 
Mtanisapot???
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

This is what we want #NoReformsNoElection #NRNE #FreeTunduLissu Leteni artwork niweke tusambaze Hadi wakae ๐Ÿ˜€โœŠ๐Ÿฝ Na #TutaelewanaTu mbona?

This is what we want 
#NoReformsNoElection 
#NRNE 
#FreeTunduLissu 

Leteni artwork niweke tusambaze 
Hadi wakae ๐Ÿ˜€โœŠ๐Ÿฝ
Na #TutaelewanaTu mbona?
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Kuhakikisha ujumbe wa #NoReformsNoElection unasambaa zaidi #Jasusi atajibidiisha kutumia hashtag hiyo kwenye as many posts as possible. Sambamba na hilo, kama alikubloku kwa sababu yoyote ile, mshtue atoe bloku. Yaliyopita si ndwele. Habari ya mujini ni NO REFORMS NO ELECTION ๐Ÿ˜Š

Kuhakikisha ujumbe wa #NoReformsNoElection unasambaa zaidi #Jasusi atajibidiisha kutumia hashtag hiyo kwenye as many posts as possible. Sambamba na hilo, kama alikubloku kwa sababu yoyote ile, mshtue atoe bloku. Yaliyopita si ndwele. Habari ya mujini ni NO REFORMS NO ELECTION ๐Ÿ˜Š
Cyancute โญ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost ๐Ÿคž Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike Repost ๐Ÿ™Œ

Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost ๐Ÿคž 

Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike 

Repost ๐Ÿ™Œ
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 9 Anaendelea Katuga Kwa mujibu wa kifungu cha 265 hazikuwa reasonable cause kilikuwa ni kitu kingine kabisa. Nikimsikia akisema kwamba kile kilichokuwa kinarekodiwa na Mh. Hakimu hakikuwa reasonable cause. Sisi tunaiomba mahakama hii ijiulize

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 15, 2025 Part 15 Kesi imeanza Majaji wote watatu wapo kama kawaida yao. Viongozi wa Chama wakiongozwa na Makam Mwenyekiti Mhe. John Heche na Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika wapo hapa ndani. Namuona pia Mgombea Urais wa ACT

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Usiwe na HOFU ya kutoka OKTOBAโ€”tutakuwa wengi sana Barabarani. Tuliochoka na UTEKAJI ni wengi. Tuliochoka KUCHAGULIWA viongozi wa kutuongoza kila baada ya miaka mitano ni wengi. Tuliochoka na UGUMU wa maisha ni wengi. Tuliochoka na UFISADI uliokithiri ni wengi. Tulionyimwa

Usiwe na HOFU ya kutoka OKTOBAโ€”tutakuwa wengi sana Barabarani.

Tuliochoka na UTEKAJI ni wengi.

Tuliochoka KUCHAGULIWA viongozi wa kutuongoza kila baada ya miaka mitano ni wengi.

Tuliochoka na UGUMU wa maisha ni wengi.

Tuliochoka na UFISADI uliokithiri ni wengi.

Tulionyimwa