SonBoss (@nmaphie53203) 's Twitter Profile
SonBoss

@nmaphie53203

ID: 1719310690962345985

calendar_today31-10-2023 11:10:21

328 Tweet

73 Followers

503 Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tutahakikisha dunia inajua huu uonevu wa Mafwele! Repost, share, paza sauti 🗣️ #FreeKiduku #FreeFridaMikoroti #FreeFarida #FreeIsaka

Leo tutahakikisha dunia inajua huu uonevu wa Mafwele! 

Repost, share, paza sauti 🗣️

#FreeKiduku  
#FreeFridaMikoroti #FreeFarida  
#FreeIsaka
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Haya ndio MAUAJI waliyokuwa wanafanya Jeshi la polisi kutumia BUNDUKI ZA MOTO. Haya ndio yalikuwa yanafanyika wakati NCHI IPO GIZANI. angalia watu walivyopigwa risasi hapo za kutosha. Mpaka sasa ni zaidi ya watanzania ELFU TATU WAMEKUFA. REPOST TUTAKUWEPO🫵😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mitandao ilipozimwa hii ndio ilikuwa kazi ya JESHI LA POLISI. Kupiga watu , kutesa watu, kuuwa watu na kuwavunja MIGUU. Haya yalikuwa yanafanyika GIZANI wakiamini dunia haitaona haya. Na sasa wanatisha watu wasisambaze haya maovu yao. Wanafikiri kwa waliyofanya 29 october Kuna

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Samia Suluhu shot mothers in their homes, they were not even protestors, she just wanted to kill as many Tanzanians as possible inorder to get total obedience.

Mangi wa Kichaga (@mangiwakwanza1) 's Twitter Profile Photo

Dear FIFA,CAF Media, I would like to inform you that the killings currently happening in Tanzania are,in many cases linked to the Yanga football club’s involvement in politics.The club supported a political party by donating 100M,which has contributed to political divisions.

Cyprian, Is Nyakundi (@c_nyakundih) 's Twitter Profile Photo

This video captures the moment between life and death for this Tanzanian lady before she was hit by a live bullet shot by officers from Tanzania's Intelligence and Security Service (TISS) which should be declared a terrorist organization

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

April 24, 2025 tulipotekwa na kwenda kuvunjwa miguu Ununio na baadaye kutupwa pori la Pande huko Bagamoyo. Godbless Lema alipata kusema haya.

Shukuru Amos (@shukuruamos) 's Twitter Profile Photo

Ukizima internet, unathibitisha kuna kitu unaficha. Ukizima internet, unasimamisha uchumi. Ukizima internet, unafukuza watalii. Ukizima internet, unafukuza wawekezaji sekta ya teknolojia (startups). Ukizima internet, unachochea kusambaa kwa misinformation. Ukizima internet,

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio hali halisi ya watanzania tangu 29.10. Mungu sikia vilio vya watoto wako, hatukuomba kuzaliwa Tanzania bali ni kwa mapenzi yako.

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa

Larry Madowo (@larrymadowo) 's Twitter Profile Photo

EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality. We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

To the international community, Tanzania needs your help. We need you to do more than issuing statements, we need actions. EU, AU, SADC, Department of State Donald J. Trump , UNITED NATIONS, AMNESTY