Obadiah
@nerbartobadiah
entrepreneurship, politics, citizen'speaker, #katiba-mpya #Tanzaniampya
#marriage morals #Katibumwenezi J Ukonga23/2028 #Mbunge wa Bunge la JMTanzania 2030
ID: 1359090070318444551
http://www.nene.tz 09-02-2021 10:42:11
4,4K Tweet
323 Takipçi
594 Takip Edilen
Jpili nilifika gereza la Ukonga na kuonana na mwenyekiti Taifa Chadema Tanzania Mh. Tundu Antiphas Lissu. Yuko imara sana alisisitiza kwamba maumivu waliyonayo umma ni ya WOTE kila mmoja anaishi maumivu. Alisema bila UKWELI&UWAJIBIKAJI hakuna MARIDHIANO na akasisitiza HAKUNA AMANI BILA HAKI
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania Tanganyika Bara Kamanda John Heche atazungumza na Taifa Leo.