Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profileg
Neema Lugangira

@neemalugangira

Proud Mother👫| MP @bunge_tz | Founder @omukahub @agrithamani @apnigafrica | Board @parlnetwork @IPNEducation | MAG @intgovforum | Mentor @SADCYouthParly

ID:4140714021

linkhttps://www.parliament.go.tz calendar_today08-11-2015 09:45:24

15,8K تغريدات

21,3K متابعون

3,6K التالية

Follow People
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Women in Politics Parliamentary Group met to discuss 6 new Gender Clauses in the Elections & Political Parties Acts of 2024; and Regulations of Political Parties Act of 2019 so that we submit our recommendations for new Regulations to the Registrar of Political Parties.

Women in Politics Parliamentary Group #WIP met to discuss 6 new Gender Clauses in the Elections & Political Parties Acts of 2024; and Regulations of Political Parties Act of 2019 so that we submit our recommendations for new Regulations to the Registrar of Political Parties.
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimeshirikiana na Msichana Initiative kuandaa Semina kati ya Jukwaa la Hedhi Salama na Wabunge kutoka Kamati za Bajeti na Afya; na Wabunge Vinara wa Wanawake ktk Siasa ambapo tumejadili kwa wanafunzi kwa kuzingatia Serikali ilishatoa Kodi lakini bei haikushuka.

Nimeshirikiana na @MsichanaUwezo kuandaa Semina kati ya Jukwaa la Hedhi Salama na Wabunge kutoka Kamati za Bajeti na Afya; na Wabunge Vinara wa Wanawake ktk Siasa ambapo tumejadili #PediBilaKodi #PediBure kwa wanafunzi kwa kuzingatia Serikali ilishatoa Kodi lakini bei haikushuka.
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimekutana na Gerson Msigwa, Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa kuwasilisha Taarifa ya Awali ya Maandalizi ya ambayo ni Ligi ya Mpira wa Miguu ya Wanawake niliyoanzisha kwa kushirikiana na Chama Cha Soka Kagera. Namshukuru kwa ushauri aliotupa wenye tija. ⚽️

Nimekutana na @MsigwaGerson, Katibu Mkuu @WizaraSanaa kuwasilisha Taarifa ya Awali ya Maandalizi ya #MabintiCup ambayo ni Ligi ya Mpira wa Miguu ya Wanawake niliyoanzisha kwa kushirikiana na Chama Cha Soka Kagera. Namshukuru kwa ushauri aliotupa wenye tija. #PigaTekeUkatili ⚽️
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Leo tumepitisha Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa 2024/25💪🏽

Hongera sana Mhe Waziri Dkt Stergomena Tax; Hongera sana Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda 👏🏽

ipo salama chini ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu 🙏

Leo tumepitisha Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa 2024/25💪🏽 Hongera sana Mhe Waziri Dkt Stergomena Tax; Hongera sana Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda 👏🏽 #Tanzana ipo salama chini ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu @SuluhuSamia 🙏
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimechangia katika Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga la Taifa WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA na nimeishauri Serikali:
🔸Tuwekeze katika Electronic Warfare ili Jeshi letu likabiliane na Vita ya Kidijitali
🔸 JKT izalishe mbegu za mazao ya chakula ili kuepusha chakula kutumika kama silaha

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

On 18th May AWLNetwork Tanzania Chapter Meeting to discuss ’s role in upcoming Elections 2024/25; I called for deliberate efforts to address online abuse to women leaders and ensure we have on ground strategies to increase participation of women in politics; vote and vie.

On 18th May @AWLNetwork Tanzania Chapter Meeting to discuss #AWLN’s role in upcoming Elections 2024/25; I called for deliberate efforts to address online abuse to women leaders and ensure we have on ground strategies to increase participation of women in politics; vote and vie.
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Kipekee namshukuru sana Madam Bahati, Mkuu wa Shule ya Sekondari Kagemu kunipa heshima kubwa ya kuwa Mgeni Rasmi kwenye Sherehe ya Kidato cha Sita ambapo niliwakilishwa na Mary, Mratibu wa . Nimewapa ushauri, nimewatakia heri na nawapenda sana ❤️🙏

Kipekee namshukuru sana Madam Bahati, Mkuu wa Shule ya Sekondari Kagemu kunipa heshima kubwa ya kuwa Mgeni Rasmi kwenye Sherehe ya Kidato cha Sita ambapo niliwakilishwa na Mary, Mratibu wa #NeemaNaMaendeleo. Nimewapa ushauri, nimewatakia heri na nawapenda sana #KagemuGirls ❤️🙏
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Kiongozi wetu, MNEC Suzan Peter Kunambi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu UWT 💪🏽

Karibu sana na limekamilika hivyo

Chini ya Chatanda na Shomari 🔥

Hongera sana Kiongozi wetu, MNEC Suzan Peter Kunambi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu UWT 💪🏽 Karibu sana na #JeshiLaMama limekamilika hivyo #TukutaneSite #SSH2025 ✅ #UWTImara Chini ya Chatanda na Shomari 🔥
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Queen of Sports Prisca Kishamba ndio Msemaji wa na namshukuru mdogo wangu kuridhia ombi langu ❤️

Kupitia tutaibua na kukuza vipaji vya wasichana na wanawake kwenye mpira wa miguu, tutatumia michezo kuchangia maendeleo na kufanikisha ⚽️

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

ni Ligi ya Mpira wa Miguu ya Wanawake inayounga mkono jitihada za Mhe Rais Samia Suluhu kukuza usawa wa kijinsia katika michezo & kutumia michezo kuchangia kumuinua mtoto wa kike na mwanamke. Usajili wa Timu kufanyika mwezi Juni & Julai; tujiandae. ⚽️

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Clouds Media nimetangaza ujio wa Ligi ya Mpira wa Miguu ya Wanawake ambayo itaanzia Kagera; mwakani tutaenda ngazi ya Kanda na Kitaifa misimu ijayo. Aidha, Shukrani za kipekee kwa Rais TFF TANZANIA na Mhe NW Wizara ya Sanaa 🙏 ⚽️

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

From Year 2021-2024, I championed Gender Equality in Politics & Chair the Women in Politics MP Group. Today, I had great discussions with both National Democratic Institute 🇹🇿 & Friedrich-Ebert-Stiftung Tanzania who are great partners. We penciled in key next activities, to be done in partnership with WiLDAF Tanzania & Omuka Hub.

From Year 2021-2024, I championed Gender Equality in Politics & Chair the Women in Politics MP Group. Today, I had great discussions with both @NDI 🇹🇿 & @FESTanzania who are great partners. We penciled in key next activities, to be done in partnership with @WiLDAFTz & @OmukaHub.
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Kikao cha Pili na Prisca Kishamba tukijadili Ligi ya Mpira wa Miguu ya Wanawake niliyodhamiria kuanzisha na namshukuru Prisca kwa kukubali kuwa Msemaji wa Ligi yetu yenye lengo la kutuma ujumbe kupitia Michezo kuhamasisha Usawa wa Kujinsia. ⚽️

Kikao cha Pili na @PKishamba tukijadili #MabintiCup Ligi ya Mpira wa Miguu ya Wanawake niliyodhamiria kuanzisha na namshukuru Prisca kwa kukubali kuwa Msemaji wa Ligi yetu yenye lengo la kutuma ujumbe kupitia Michezo kuhamasisha Usawa wa Kujinsia. #PigaTekeUkatili #KickOutGBV ⚽️
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Wabunge wa Viti Maalumu tukiwa pamoja na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Chatanda tumeshikilia Kanga Toleo la Pili ya Sare ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu inayouzwa katika Ofisi za UWT za Mikoa yote Nchini na Ofisi za UWT HQ.

Baadhi ya Wabunge wa Viti Maalumu tukiwa pamoja na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Chatanda tumeshikilia Kanga Toleo la Pili ya Sare ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu inayouzwa katika Ofisi za UWT za Mikoa yote Nchini na Ofisi za UWT HQ. #TukutaneSite #SSH2025
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nampongeza sana Mhe Rais Samia Suluhu kwa kuibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia barani Afrika na kufanikisha kupata jumla ya ahadi za kiasi cha USD Bilioni 2.2 kwa lengo la kufanikisha Ajenda hii muhimu wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika

Nampongeza sana Mhe Rais @SuluhuSamia kwa kuibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia barani Afrika na kufanikisha kupata jumla ya ahadi za kiasi cha USD Bilioni 2.2 kwa lengo la kufanikisha Ajenda hii muhimu wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2021 nilichangia katika Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 na niliishauri Serikali kuanza kutoza Kodi Mpya ya Huduma za Kidijitali “Digital Service Tax” kwa Kampuni kama Google, Meta, Amazon n.k na kati ya Julai 2023 hadi Aprili 2024 walikusanya Kodi Sh Bilioni 12.6

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimechangia Bajeti ya Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari na kuishukuru Serikali kwa kufanyia kazi ushauri wetu:
🔹Sasa ipo chini ya Wizara hii
🔹Kodi Mpya ya Huduma za Kidijitali “Digital Service Tax” ilianza kutozwa Julai 2023 na kufikia Aprili 2024 walikusanya Kodi Sh Bilioni 12.6

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Tokea 2018 tunatoa Elimu ya kwa wakina mama wajawazito, wanaonyonyesha na wenye watoto chini ya umri wa miaka 2 ktk Vituo Vya Afya vyote Bukoba Mjini. Kati Jan-Aprili 2024 tumefikia wajawazito 800+. Ili kuimarisha jitihada zetu, nimekutana na Dr Beatrice Mwilike, Rais wa

Tokea 2018 tunatoa Elimu ya #Lishe kwa wakina mama wajawazito, wanaonyonyesha na wenye watoto chini ya umri wa miaka 2 ktk Vituo Vya Afya vyote Bukoba Mjini. Kati Jan-Aprili 2024 tumefikia wajawazito 800+. Ili kuimarisha jitihada zetu, nimekutana na Dr Beatrice Mwilike, Rais wa
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Karibia miaka 3 iliyopita nilichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo 2021/22 niliomba Vituo vya Rasilimali ya Kilimo Kata (Ward Agriculture Resource Centre) vifufuliwe.

Nimefurahi Bajeti ya Wizara ya Kilimo 2024/25 Vituo hivi vinakwenda kufufuliwa.

Asante Mhe Waziri Hussein M Bashe 👏🏽

Karibia miaka 3 iliyopita nilichangia Bajeti ya @WizaraKilimo 2021/22 niliomba Vituo vya Rasilimali ya Kilimo Kata (Ward Agriculture Resource Centre) vifufuliwe. Nimefurahi Bajeti ya Wizara ya Kilimo 2024/25 Vituo hivi vinakwenda kufufuliwa. Asante Mhe Waziri @HusseinBashe 👏🏽
account_circle