Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile
Neema Lugangira

@neemalugangira

Proud Mother๐Ÿ‘ซ| MP @bunge_tz | Founder @omukahub @agrithamani @apnigafrica | Board @parlnetwork @IPNEducation | MAG @intgovforum | Mentor @SADCYouthParly

ID: 4140714021

linkhttps://www.parliament.go.tz calendar_today08-11-2015 09:45:24

16,16K Tweet

21,21K Followers

3,3K Following

Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kikundi cha SR Women Group Kata ya Bakoba #BukobaMjini ambacho kina wanachama 200 na kipo chini ya Mwenyekiti dada yangu Sarah. Nimepokea mahitaji yao na kwa kuanzia nimechangia katika bajeti inayohitajika. Aidha,

Katika Kuadhimisha Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania kwa Mkoa wa Kagera nilipata Heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Mechi ya Kirafiki kati ya Timu ya Jeshi la Polisi na Timu ya Bodaboda ya Bukoba Mjini, ambapo mimi ni Mlezi wa Chama Cha Madereva wa Pikipiki na Wamiliki kwa

Penati ya Mgeni Rasmi katika Mechi ya Kirafiki kati ya Timu ya Jeshi la Polisi na Timu ya Bodaboda ya Bukoba Mjini niliipiga kwa utalaamu wa combination ya Profesa na Ki ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝโšฝ๏ธ๐Ÿ”ฅ #MabintiCup

Nikiwa Mlezi wa Bodaboda Bukoba Mjini namshukuru sana Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC) ACP Yusuph Daniel kwa kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kozi Namba 1 yetu Omuka Hub ya Usalama Barabarani ambapo Bodaboda 180 watapata mafunzo ya udereva na cheti bure ili waweze

Shirika letu Omuka Hub tunawashukuru sana NSSF Tanzania kwa ushirikiano wao mkubwa katika kufanikisha Semina yetu ya Usalama wa Barabarani kwa Vijana Bodaboda 180 kutoka Bukoba Mjini. Tunamshukuru pia Ndg. Kisaka, Meneja wa NSSF Kagera kwa kuwasilisha Mada kuhusu Fursa za Kujiunga na

Shirika letu Omuka Hub tunawashukuru sana NSSF Tanzania kwa ushirikiano wao mkubwa katika kufanikisha Semina yetu ya Usalama wa Barabarani kwa Vijana Bodaboda 180 kutoka Bukoba Mjini.

Tunamshukuru pia Ndg. Kisaka, Meneja wa NSSF Kagera kwa kuwasilisha Mada kuhusu Fursa za Kujiunga na
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

KAMPENI YA TUKUTANE KWA BALOZI CHINI YA URATIBU WA UWT ๐Ÿ”ฅ Mhe. Mary Pius Chatanda (MCC) Mwenyekiti wa UWT Taifa amezindua Kampeni ya Tukutane kwa Balozi ambapo Viongozi wa UWT, Wabunge Viti Maalum na Madiwani Viti Maalum kutoka Ngazi husika watafanya Mikutano na Mabalozi ambao

KAMPENI YA TUKUTANE KWA BALOZI CHINI YA URATIBU WA UWT ๐Ÿ”ฅ

Mhe. Mary Pius Chatanda (MCC)  Mwenyekiti wa UWT Taifa amezindua Kampeni ya Tukutane kwa Balozi ambapo Viongozi wa UWT, Wabunge Viti Maalum na Madiwani Viti Maalum kutoka Ngazi husika watafanya Mikutano na Mabalozi ambao
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

In #Kampala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ to deliver Opening Remarks to the East Africa School of Intermet Goverance, bringing together Leaders from EAC. / Nipo #Kampala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ kuwasilisha Neno la Ufunguzi katika Mkutano unaolenga kutoa Elimu ya Utawala Bora wa Mitandao kwa Viongozi kutoka Afrika Mashariki.

In #Kampala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ to deliver Opening Remarks to the East Africa School of Intermet Goverance, bringing together Leaders from EAC.

Nipo #Kampala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ kuwasilisha Neno la Ufunguzi katika Mkutano unaolenga kutoa Elimu ya Utawala Bora wa Mitandao kwa Viongozi kutoka Afrika Mashariki.
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

It was great catching up with my powerhouse sisters, Hon Sarah Opendi ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ and Hon Sen. Catherine Muyeka Mumma, MP ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช at the East Africa School of Internet Governance in #Kampala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Together we are stregthening the role of African Parliamentarians on digital development in Africa through African Parliamentary Network on Int Governance ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

It was great catching up with my powerhouse sisters, Hon Sarah Opendi ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ and Hon Sen. Catherine Muyeka Mumma, MP ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช at the East Africa School of Internet Governance in #Kampala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ

Together we are stregthening the role of African Parliamentarians on digital development in Africa through African Parliamentary Network on Int Governance ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Trh 1/6/2024 nilipata heshima ya kuwa Mlezi wa Bodaboda Bukoba Mjini & niliombwa kwanza wapate leseni. Leo trh 11/9/2024, mafunzo ya udereva yameanza kwa Bodaboda 139 kushiriki & 41 wanakamilisha uhakiki wa taarifa. Aidha, Omuka Hub tumelipia gharama ya mafunzo. #MleziLugangira

Trh 1/6/2024 nilipata heshima ya kuwa Mlezi wa Bodaboda Bukoba Mjini & niliombwa kwanza wapate leseni.

Leo trh 11/9/2024, mafunzo ya udereva yameanza kwa Bodaboda 139 kushiriki & 41 wanakamilisha uhakiki wa taarifa. Aidha, Omuka Hub tumelipia gharama ya mafunzo.

#MleziLugangira
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Mafunzo kuhusu NSSF Tanzania na fursa zake yanaendelea kwa Bodaboda 180 Bukoba Mjini ambao wamesajiliwa katika Kozi Namba 1 ya Omuka Hub ya Usalama Barabarani. Shukrani kwa NSSF kwa ushirikiano na elimu hii muhimu. Lengo letu ni Bodaboda waielewe dhima ya hifadhi ya jamii ili

Mafunzo kuhusu NSSF Tanzania na fursa zake yanaendelea kwa Bodaboda 180 Bukoba Mjini ambao wamesajiliwa katika Kozi Namba 1 ya Omuka Hub ya Usalama Barabarani. Shukrani kwa NSSF kwa ushirikiano na elimu hii muhimu.

Lengo letu ni Bodaboda waielewe dhima ya hifadhi ya jamii ili
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Trh 12/9/2024 Cde Rabia Abdallah Hamid, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) na Mjumbe wa Kamati ya Ilani ya CCM ya Uchaguzi alishiriki Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Asasi za Kiraia Tanzania 2024/29. Pongezi kwa Asasi zote zilizoshiriki kukamilisha Ilani hii

Cde Rabia Abdallah Hamid, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) na Mjumbe wa Kamati ya Ilani ya CCM ya Uchaguzi ameahidi CCM itapitia Ilani ya Uchaguzi ya Asasi za Kiraia Tanzania 2024/29 katika Uandishi wa Ilani ya CCM ya Uchaguzi 2025-2030 na kukutana na Kundi la

Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

โ›ณ๏ธ๐ŸŒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ#BungeGolfers ~ Neema Lugangira, Mb ~ Neema Mgaya, Mb ~ Esther Matiko, Mb ๐Ÿ“#LugaloGolfCourse ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ›ณ๏ธ๐ŸŒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ#BungeGolfers
~ Neema Lugangira, Mb
~ Neema Mgaya, Mb
~ Esther Matiko, Mb
๐Ÿ“#LugaloGolfCourse ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa Mwenyekiti Mwenza wa Kikundi cha Wabunge Vinara Duniani wa Kutokomeza Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele #NTDs, leo nimepata heshima ya kuwasilisha salaam maalum kwa HRH Duchess Sophie, Mke wa Mdogo wa Mfalme wa Uingereza katika Mkutano wake na Wadau wa #NTDs nchini. #BeatNTDs

As Co-Chair of the Global Parliamentary Group to Combat Neglected Tropical Diseases #NTDs under Uniting to Combat Neglected Tropical Diseases, I had the honour to deliver special remarks to HRH Duchess Sophie, Duchess of Edinburgh at her meeting with Stakeholders focused on Ending NTDs in Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. #BeatNTDs

Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

It was a humbling experience spending a day with HRH Duchess Sophie, Duchess of Edinburgh witnessing her work graciously in celebration of progress made in fighting Neglected Tropical Diseases #NTDs in Zanzibar. #BeatNTDs / Leo ilikuwa siku njema sana kuwa na HRH Duchess Sophie,

It was a humbling experience spending a day with HRH Duchess Sophie, Duchess of Edinburgh witnessing her work graciously in celebration of progress made in fighting Neglected Tropical Diseases #NTDs in Zanzibar. #BeatNTDs

Leo ilikuwa siku njema sana kuwa na HRH Duchess Sophie,