Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profileg
Omuka Hub

@OmukaHub

Promoting digital skills, community networks, digital rights & democracy, data governance & AI, online safety and access to information | Host @apnigafrica

ID:1451597695009890304

calendar_today22-10-2021 17:14:11

437 Tweets

533 Followers

603 Following

Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Ili kurahisisha upatikanaji wa elimu za kiafya. Tumetoa ujuzi kwa Wanawake Wajawazito kituo cha Afya Buhembe , ili waanze kutumia mitandao kupata elimu za kiafya ambazo zitaboresha afya zao na za Watoto wao kabla na baada ya kuzaliwa.

Ili kurahisisha upatikanaji wa elimu za kiafya. Tumetoa ujuzi kwa Wanawake Wajawazito kituo cha Afya Buhembe #BukobaMjini, ili waanze kutumia mitandao kupata elimu za kiafya ambazo zitaboresha afya zao na za Watoto wao kabla na baada ya kuzaliwa. #DigitalInclusion
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Tumetoa ujuzi wa kidigitali kwa Wanafunzi, namna gani wanaweza kutumia simu kujifunza masomo mbalimbali na kuwa salama pindi wanapotumia mitandao. Tutaendelea kufikia Wanafunzi wengi kupitia Club za TEHAMA tulizoanzisha mashuleni.

Tumetoa ujuzi wa kidigitali kwa Wanafunzi, namna gani wanaweza kutumia simu kujifunza masomo mbalimbali na kuwa salama pindi wanapotumia mitandao. Tutaendelea kufikia Wanafunzi wengi kupitia Club za TEHAMA tulizoanzisha mashuleni. #Digitalinclusion
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Semina ya 30% ya Ununuzi wa Umma iliyotengwa kwa Makundi Maalum ambayo Omuka Hub tulitoa kwa Viongozi Wanawake, Viongozi CCM, Madiwani & Wajasiriamali Wanawake tumekuza uelewa wa fursa & mfumo wa NeST. Tunajiandaa na awamu ya 2
Africa Freedom of Information Centre (AFIC) PPRA_Tanzania

account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Shirika letu Omuka Hub tumefanikiwa kutaarifu & kuwezesha Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii 71 kutoka Kata 14 kuandaa maombi yao ya Ajira ktk Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii chini ya Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ & OFISI YA RAIS TAMISEMI. Tunawatakia kila la heri wote.

Shirika letu @OmukaHub tumefanikiwa kutaarifu & kuwezesha Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii 71 kutoka Kata 14 #BukobaMjini kuandaa maombi yao ya Ajira ktk Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii chini ya @wizara_afyatz & @ortamisemitz. Tunawatakia kila la heri #CHW wote.
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla, heri ya sikukuu ya Eid. Tuendelee kudumisha amani na upendo.

Tunawatakia Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla, heri ya sikukuu ya Eid. Tuendelee kudumisha amani na upendo. #Eidmubarak
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Kufuatia laptop na printer tulizotoa kwa Watendaji wa kata ya Kashai, Kahororo, Miembeni, Kibeta na Nshambya Bukoba Manispaa, tumewazungukia kuwaunganishia vifaa hivyo kwaajili ya matumizi. Tutaendelea kuwapatia ujuzi ili wafanye shughuli zao kidigitali.

Kufuatia laptop na printer tulizotoa kwa Watendaji wa kata ya Kashai, Kahororo, Miembeni, Kibeta na Nshambya Bukoba Manispaa, tumewazungukia kuwaunganishia vifaa hivyo kwaajili ya matumizi. Tutaendelea kuwapatia ujuzi ili wafanye shughuli zao kidigitali.#digitalinclusionTz
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya wakurugenzi pamoja na uongozi wa Omuka Hub tunawatakia Waislamu wote Mfungo Mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan

Bodi ya wakurugenzi pamoja na uongozi wa Omuka Hub tunawatakia Waislamu wote Mfungo Mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Tumeendelea kutoa ujuzi wa kidigitali kwa vitendo kwa Wanafunzi wa Sekondari, ili kuhamasisha na kuchagiza matumizi sahihi ya vifaa vya kidigitali katika shughuli zao za kitaaluma.

Tumeendelea kutoa ujuzi wa kidigitali kwa vitendo kwa Wanafunzi wa Sekondari, ili kuhamasisha na kuchagiza matumizi sahihi ya vifaa vya kidigitali katika shughuli zao za kitaaluma. #DigitalInclusionTz
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Leo Omuka Hub tunaungana na Watanzania wote katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza aliyekuwa Raisi wa awamu ya pili ndugu Ali Hassan Mwinyi.

Tutamkumbuka kwa mchango wake katika kulijenga taifa na kudumisha uzalendo.

Leo @OmukaHub tunaungana na Watanzania wote katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza aliyekuwa Raisi wa awamu ya pili ndugu Ali Hassan Mwinyi. Tutamkumbuka kwa mchango wake katika kulijenga taifa na kudumisha uzalendo.
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 23/02/2024 tulihitimisha Semina yetu mahususi kuhusu 30% ya Ununuzi wa Umma ambapo washiriki walikua ni Wanawake wafanya Biashara na Maafisa ununuzi. @omukahub tunawashukuru Shirika la AfricaFreedom of Information Centre na PPRA_Tanzania , kwa kutuunga mkono.

Tarehe 23/02/2024 tulihitimisha Semina yetu mahususi kuhusu 30% ya Ununuzi wa Umma ambapo washiriki walikua ni Wanawake wafanya Biashara na Maafisa ununuzi. @omukahub tunawashukuru Shirika la AfricaFreedom of Information Centre na @PpraTanzania , kwa kutuunga mkono.
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 22/02/2024 @omukahub, Shirika la AfricaFreedom of Information Centre na @ppra _tanzania, tuliandaa na kufanya uzinduzi wa Semina mahususi kuhusu 30% ya Ununuzi wa Umma kwenda kwa Makundi Maalum. Washiriki walikuwaViongozi Wanawake na Madiwani.

Tarehe 22/02/2024 @omukahub, Shirika la AfricaFreedom of Information Centre na @ppra _tanzania, tuliandaa na kufanya uzinduzi wa Semina mahususi kuhusu 30% ya Ununuzi wa Umma kwenda kwa Makundi Maalum. Washiriki walikuwaViongozi Wanawake na Madiwani.
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Leo Omuka Hub, Africa Freedom of Information Centre (AFIC) na PPRA_Tanzania, tumeandaa Semina kuhusu 30% ya Ununuzi wa Umma kwenda kwa Makundi Maalum. Washiriki walikuwa Viongozi Wanawake, Viongozi CCM na Madiwani. Tutaendelea kuhakikisha kundi la wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee wananufaika.

Leo @OmukaHub, @africafoicentre na @PpraTanzania, tumeandaa Semina kuhusu 30% ya Ununuzi wa Umma kwenda kwa Makundi Maalum. Washiriki walikuwa Viongozi Wanawake, Viongozi CCM na Madiwani. Tutaendelea kuhakikisha kundi la wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee wananufaika.
account_circle
Africa Freedom of Information Centre (AFIC)(@africafoicentre) 's Twitter Profile Photo

Biashara za wanawake zinakosa uwezo wa kufasiri na kuandaa zabuni zinazoweza kujibu. Africa Freedom of Information Centre (AFIC) , Omuka Hub na mashirika mengine ya kiraia yanapaswa kushirikiana na PPRA katika kubuni na kutekeleza mipango ya kuongeza uwezo ili wanawake katika biashara waweze kushiriki

Biashara za wanawake zinakosa uwezo wa kufasiri na kuandaa zabuni zinazoweza kujibu. @africafoicentre , @OmukaHub na mashirika mengine ya kiraia yanapaswa kushirikiana na PPRA katika kubuni na kutekeleza mipango ya kuongeza uwezo ili wanawake katika biashara waweze kushiriki
account_circle
Africa Freedom of Information Centre (AFIC)(@africafoicentre) 's Twitter Profile Photo

Training of public officials on their role in implementing the PPRA_Tanzania law is key. PPRA and ministry of Finance should enforce existing laws in line with payment of providers and contractors, especially special groups-Gilbert Sendugwa

Training of public officials on their role in implementing the @PpraTanzania law is key. PPRA and ministry of Finance should enforce existing laws in line with payment of providers and contractors, especially special groups-@GilbertSendugwa #WomenInProcurement #Womeninbusiness
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Ili kufikia lengo letu la ujumuishaji wa matumizi ya digitali kwenye mikoa ya pembezoni. Tumezidi kutoa elimu kwa mnufaika mmoja mmoja namna ya kutumia vifaa vya kidigitali kama simu katika shughuli zao za kila siku.

Ili kufikia lengo letu la ujumuishaji wa matumizi ya digitali kwenye mikoa ya pembezoni. Tumezidi kutoa elimu kwa mnufaika mmoja mmoja namna ya kutumia vifaa vya kidigitali kama simu katika shughuli zao za kila siku.
account_circle
Transform Health(@Trans4m_Health) 's Twitter Profile Photo

πŸ™ŒπŸΌ Meet our

Hon. Neema Lugangira, MP, Tanzania

She brings forth national & international recognition, with extensive experience and a successful track record in championing policy advocacy & legislative reforms across various sectors

Learn more transformhealthcoalition.org/about/

πŸ™ŒπŸΌ Meet our #board Hon. @neemalugangira, MP, Tanzania She brings forth national & international recognition, with extensive experience and a successful track record in championing policy advocacy & legislative reforms across various sectors Learn more transformhealthcoalition.org/about/
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Tumetoa ujuzi wa kidigitali kwa Wakina Mama wajawazito, namna ya kupata ushauri wa kiafya wa mambo muhimu ya kuzingatia kipindi ch ujauzito kwa kutumia simu zao za mkononi. Ili kuhakikisha usalama wa mtoto pindi awapo tumboni na baada ya kujifungua

Tumetoa ujuzi wa kidigitali kwa Wakina Mama wajawazito, namna ya kupata ushauri wa kiafya wa mambo muhimu ya kuzingatia kipindi ch ujauzito kwa kutumia simu zao za mkononi. Ili kuhakikisha usalama wa mtoto pindi awapo tumboni na baada ya kujifungua #DigitalInclusionTz
account_circle
Omuka Hub(@OmukaHub) 's Twitter Profile Photo

Tunaishukuru Wizara WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII kwa kutambua kazi za Omuka Hub hivyo kututeua kuwa Wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Mtoto Mtandaoni.

Tutaendelea kutoa elimu ya usalama mtandaoni shuleni, na mwaka jana tulifikia wanafunzi 1,430 kutoka shule 10 za Bukoba Mjini.

Tunaishukuru Wizara @maendeleoyajami kwa kutambua kazi za @OmukaHub hivyo kututeua kuwa Wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Mtoto Mtandaoni. Tutaendelea kutoa elimu ya usalama mtandaoni shuleni, na mwaka jana tulifikia wanafunzi 1,430 kutoka shule 10 za Bukoba Mjini.
account_circle