Nay Wa Mitego (@naytrueboy) 's Twitter Profile
Nay Wa Mitego

@naytrueboy

CEO at Free Nation | Independent thinker
966 Money Makers ✊

ID: 1275750500286312454

linkhttps://youtu.be/7hxMHUqihd4 calendar_today24-06-2020 11:20:09

326 Tweet

2,2K Takipçi

43 Takip Edilen

#Naythetrueboy (@naythetrueboy) 's Twitter Profile Photo

Kwani Gwajima kakosea nini.? Kusema hapendi utekaji.? Au kuna lingine.. Kama ni ivyo basi kuna shida Kubwa mnooo ambayo haijawai tokea, na nina amini kuna anza kupambazuka… acha iendelee kunyesha tuone panapo vuja…

#Naythetrueboy (@naythetrueboy) 's Twitter Profile Photo

Wabongo wanapenda sana umbea Yani mpaka unashangaa ivi awa ni watu wa aina gani.? Kuna mambo ya msingi yanaendela kuhusu nchi mjadala mikubwa ipo, wameletewa umbea kwa makusudi now wamehamia kwenye umbea. My Country People😡😡

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Anza siku yako na MACHOZI ya watanzania hawa wanaolia kwa kupoteza WAPENDWA WAO. Kiuhalisia tunaowatafuta mtandaoni ni wachache sana kuliko uhalisia wa wanaotekwa mtaani. Askofu Gwajima alisema anayo list ya watu 80 waliotekwa, ila bado hiyo list ya watu ni ndogo. Watanznaia

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Sijui sasa Iddi Amini Mama anakwenda kufunga misikiti yote au inakuwaje? limesomwa neno hapo na sio mama ambayo huyo dikteta anakubaliana nayo Mmechokoza sana vitu sasa tunasikia sauti za kina namna kupinga urais wa Samia, haya yanatokea sababu ya hizo roho chafu anazofanya

SOYA (@captainpilo7) 's Twitter Profile Photo

"Haya mambo ya Utekaji mmechukua hatua gani kama sio kazi yeni ni Kazi ya kina nani ?" "Sina chama cha Siasa nawaamsha Msiwe Wajinga...." Ney wa Mitego new Song

"Haya mambo ya Utekaji mmechukua hatua gani kama sio kazi yeni ni Kazi ya kina nani ?"

"Sina chama cha Siasa nawaamsha Msiwe Wajinga...."

 Ney wa Mitego new Song
ZEDD (@sisuthegreat) 's Twitter Profile Photo

Muhuni kapata leo shavu la Trace Mzikii. Mdaa uu katika FOCUS ya Trace ni mkali NAY WA MITEGO🇹🇿 Katika FOCUS, msani anapata shavu la ngoma zake 30. Yani ni mwendo wa vichupa 30 vya msani usika. Leo adi zile ngoma ambazo zilifungiwa katika media za Bongo zinachezwa. 😂 #Trace

Muhuni kapata leo shavu la Trace Mzikii. 
Mdaa uu katika FOCUS ya Trace  ni mkali NAY WA MITEGO🇹🇿

Katika FOCUS, msani anapata shavu la ngoma zake 30. Yani ni mwendo wa vichupa 30 vya msani usika. 

Leo adi zile ngoma ambazo zilifungiwa katika media za Bongo zinachezwa. 😂
#Trace
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

From G.J.Malisa Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni Afisa Mtendaji wa kijiji cha Uyovu anaitwa Budimu na Afisa Mtendaji wa