smartest (@nassaryd1111) 's Twitter Profile
smartest

@nassaryd1111

Play and win

ID: 902762969729302529

calendar_today30-08-2017 05:20:39

132 Tweet

7 Followers

216 Following

Joachim Mabula (@joachimmabula) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya Kuepuka Ukiwa na Vidonda vya Tumbo: Usile au punguza kula vyakula vilivyo kaangwa kwa mafuta ama vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta. Usile vyakula vyenye viungo vingi ama viungo vyenye chachu nyingi ikiwa ni pamoja na pilipili. #ElimikaWikiendi

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

@HemediShingwa Mmoja mara ya mwisho alikuwa dereva na daladala hapa Dar aliyechuchumaa! Huyo niliyesimama naye ni mwalimu wa shule ya msingi

smartest (@nassaryd1111) 's Twitter Profile Photo

Masanja Kila siku ,drink water Pray ,lakin kwa Nini hutoi SoMo la namna ya kufanikiwa ?mie nahisi ndo kitu chema zaidi bro ,

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

Nick Luhende! #NIPENI_MAUA_YANGUπŸ’ Roma hajawahi kuwasemea Wananchi… Anaongea vitu ambavyo wananchi wanavijua. tena juu juu tu… kiuoga!! If we are to keep it real… But go ahead with your narrative

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

Sio rahisi kupata maneno sahihi ya kusema kwa sasa. Itoshe kusema hili ni pigo kubwa kwa wanaMtama na kusini kwa ujumla! Mwamba umeanguka! Pumzika kaka yangu!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Sio rahisi kupata maneno sahihi ya kusema kwa sasa. Itoshe kusema hili ni pigo kubwa kwa wanaMtama na kusini kwa ujumla! Mwamba umeanguka! Pumzika kaka yangu!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
MARLEY (@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Utopolo eenh, hapa ni Taifa, yaani Lupaso, hakuna mtu atapaka rangi hivyo viti, mtachagua kukaa hapo ama mje na vigoda. 🀣🀣🀣

Utopolo eenh, hapa ni Taifa, yaani Lupaso, hakuna mtu atapaka rangi hivyo viti, mtachagua kukaa hapo ama mje na vigoda.

🀣🀣🀣