Nasser Mtengera (@nas__naa) 's Twitter Profile
Nasser Mtengera

@nas__naa

Concerned Citizen🇹🇿 | #FoodSystems | Coordinator @Vijana4Food

ID: 1242411362

linkhttp://www.vijana4food.or.tz calendar_today04-03-2013 23:08:27

31,31K Tweet

1,1K Takipçi

5,5K Takip Edilen

Dear Son. (@dears_o_n) 's Twitter Profile Photo

There's something called Grace. When it locates you, it doesn't inspect your certificates or your background. It simply changes the story of your life.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Ndani ya miezi miwili: Lissu yuko jela. Ruzuku imezuiwa. Hakuna kushiriki uchaguzi 5yrs. Mdude ametekwa. Mateso, kuvunjwa miguu & mikono, udhalilishaji & kifo cha mtu 1 Kisutu. Viongozi wamezuiwa kusafiri. Zuio la kufanya siasa. Yet shauku ya reforms iko juu sana🙌🏼

Ndani ya miezi miwili:

Lissu yuko jela.

Ruzuku imezuiwa.

Hakuna kushiriki uchaguzi 5yrs.

Mdude ametekwa.

Mateso, kuvunjwa miguu & mikono, udhalilishaji & kifo cha mtu 1 Kisutu.

Viongozi wamezuiwa kusafiri.

Zuio la kufanya siasa.

Yet shauku ya reforms iko juu sana🙌🏼
Apostle Brian kajawo (@apostlebriank) 's Twitter Profile Photo

SAY THESE 3 PRAYERS RIGHT NOW: 1. Dear God: Break every cycle sent to keep me stuck. 2. Dear God: Reveal what I need to release. 3. Dear God: Make room for the blessings I’m praying for. Type AMEN.

Eric (@amerix) 's Twitter Profile Photo

You can have a Doctorate of Philosophy but lack emotional intelligence and wisdom. Emotional intelligence helps you to read the room. Wisdom helps you to sit in the room. Kasongo lacks both. #ResignEliudLagat

Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kumalizana na Wilaya ya Momba kituo kinachofuata ni Songwe Mkwajuni, ambapo Wasichana waliopata watoto katika umri mdogo watapata Mafunzo ya Kiuchumi, Kutambua fursa za kibiashara pamoja na Elimu ya Mikopo ya 10% kutoka Halmashauri. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Baada ya kumalizana na Wilaya ya Momba kituo kinachofuata ni Songwe Mkwajuni, ambapo Wasichana waliopata watoto katika umri mdogo watapata Mafunzo ya Kiuchumi, Kutambua fursa za kibiashara pamoja na Elimu ya Mikopo ya 10% kutoka Halmashauri.

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mary Davis (@marydavis7105) 's Twitter Profile Photo

As a UNDP Student ambassador I joined a powerful morning at the UNDP Donor Engagement Breakfast It was all about green growth, youth led innovations. The message was clear: Sustainable change needs all of us especially the youth✊🏻 Proud to be part of the movement🔥

As a UNDP Student ambassador I joined a powerful morning at the UNDP Donor Engagement Breakfast 
It was all about green growth, youth led innovations. The message was clear:
Sustainable change needs all of us especially the youth✊🏻
Proud to be part of the movement🔥
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Usaliti wenye hasara zaidi ni ule unaoufanya dhidi yako mwenyewe—kutokujiamini; kutokutumia vipawa vyako; kutokutambua thamani yako; kutokujisamehe; kujihukumu kwa makosa usiyoweza kuyarekebisha; kulazimisha yasiyowezekana; kuwa tegemezi kupindukia kwa watu.