Namdi Azikiwe.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช (@namdiazikiwe) 's Twitter Profile
Namdi Azikiwe.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

@namdiazikiwe

ยฉTanzanianยฉVolunteerยฉ EntrepreneurยฉCriticยฉTruthยฉActivistยฉSocial justiceยฉHuman rights matterยฉ SautiZetu|UhaiWetu|GodsWithGoal|Team it's possible With100%

ID: 1058292270745731072

linkhttps://www.clubhouse.com/@namdiazikiwe?utm_medium=ch_profile&utm_campaign=ZstZ9xuwGbHs8fNETKzJfA-22 calendar_today02-11-2018 09:38:34

533,533K Tweet

73,73K Followers

26,26K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo #MariaSpaces tunajadili: Serikali na chama kutekwa na wanamtandao? Tumekubali utumwa? Chama tawala kuna malalamiko namna kikundi kidogo kimeteka uongozi, serikalini vyombo vya ulinzi na usalama vinaonekana kushughulika na wanaharakati na wapinzani kulikoni? Leo saa 2 uck

Leo #MariaSpaces tunajadili: Serikali na chama kutekwa na wanamtandao? Tumekubali utumwa?
Chama tawala kuna malalamiko namna kikundi kidogo kimeteka uongozi, serikalini vyombo vya ulinzi na usalama vinaonekana kushughulika na wanaharakati na wapinzani kulikoni?
Leo saa 2 uck
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hello Masele. Nafikiri utakumbuka , kuna siku nilikutana na wewe ktk moja ya Coffee Shop Dsm , tulibishana kuhusu umuhimu wa reforms ktk uchaguzi mkuu. Bahati mbaya haukunielewa hata kidogo. Lakini angalau ulilipa kahawa. Nilikuambia mabadiliko makubwa ya uchaguzi ktk Nchi

SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Tumeditate pamoja๐Ÿง˜โ€โ™‚๏ธ Fedha ni chombo tu, si lengo la mwisho Najifunza kuitumia bila pupa na sifa nikielewa kuwa utajiri wa kweli haupimwi kwa fedha, bali kwa matendo ya wema Sitaki kuwa mtumwa wa mali, bali msimamizi wa baraka na maisha yangu yawe km shamba linalostawisha fedha

Professional Adventure Guide ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Hakuna ushahidi wa siri uliowahi kuwepo; huo ni fiction inayokiuka Katiba ya JMT Ibara 13(6)(a) na Sheria ya Ushahidi Cap. 6 R.E 2022 inayotaka transparency ya ushahidi. Shahidi wa siri bila msingi ni psychological intimidation na abuse of due process ni uvunjifu wa rule of law.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA STAND UP KUTOKA KATIKA BONDE LA UVULI WA MAUTI Mtu yeyote mkweli na Muungwana hawezi furahia mashambulizi anayofanyiwa CHADEMA. CHADEMA is under strategic and diverstating attack kutoka kila pahala na hata viongozi wake hawajanusurika na Mashambulizi haya. Ushauri

CHADEMA STAND UP KUTOKA KATIKA BONDE LA UVULI WA MAUTI

Mtu yeyote mkweli na Muungwana hawezi furahia mashambulizi anayofanyiwa CHADEMA. 

CHADEMA is under strategic and diverstating attack  kutoka kila pahala na hata viongozi wake hawajanusurika na Mashambulizi haya.

Ushauri
Jack (@jacklyn_gg) 's Twitter Profile Photo

Musisononeke sana, wala musiwe na hofu na musiogope. Aliye upande wetu ni mkuu mno kuliko wao. Shimo wanalomchimbia Tundu Lissu watadumbukia wenyewe.

Namdi Azikiwe.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช (@namdiazikiwe) 's Twitter Profile Photo

PGO (Kanuni za Police ) haielekezi utoaji wa taarifa rasmi kwa wananchi baada ya tukio muhimu, kama vile kupigwa au kufariki kwa raia mikononi mwa polisi. Hivyo PGO (Kanuni za Police ) haina uwazi wa taarifa kwa umma kuhusu matukio ya polisi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kupitia PGO (Kanuni za Police ) , Polisi hawawajibishwi kwa ukamataji holela. PGO (Kanuni za Police ) haielekezi utaratibu wa fidia au adhabu kwa polisi wanaokamata watu bila sababu au ushahidi wa msingi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

PGO (Kanuni za Police ) haijaweka kisheria masharti ya mafunzo ya mara kwa mara kuhusu haki za binadamu na maadili ya kazi. Hivyo kuna ukosefu wa mafunzo endelevu ya haki za binadamu kwa askari #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

PGO (Kanuni za Police ) haijaweka utaratibu huru wa kupokea malalamiko dhidi ya polisi. Raia wanaolalamika dhidi ya polisi hulazimika kuripoti kwa polisi haohao, hali inayozuia haki kutendeka kwa uwazi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

PGO (Kanuni za Police ) imekosa usawa wa kijinsia katika ajira na vyeo. Sheria haijasawazisha uwakilishi wa kijinsia katika ngazi za uongozi wa jeshi la polisi, jambo linaloathiri uwiano wa kijinsia katika usimamizi wa sheria #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Tanzania imekosa sheria ya kulinda maeneo nyeti ya mazingira dhidi ya uwekezaji. Maeneo kama mbuga, mito, na hifadhi yameingiliwa na mradi wa EACOP kwa sababu sheria haijaweka marufuku ya moja kwa moja dhidi ya ujenzi kwenye maeneo hayo #KataaEACOP #EACOPniTishio

Mikataba ya rasilimali kama mafuta haijawekewa misingi ya wazi ya usimamizi wa rasilimali hizo kwa manufaa ya wote. Ndio maana mradi wa EACOP umekosa uwazi #KataaEACOP #EACOPniTishio

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ lacks laws protecting environmentally sensitive areas from investment. Places like game reserves, and conservation areas have been encroached upon by the EACOP project because there are no clear legal prohibitions against construction in these zones #KataaEACOP #EACOPniTishio

Resource contracts, such as those for oil, often lack clear frameworks for managing these resources in the best interest of all parties. This is why the EACOP project has suffered from a lack of transparency #KataaEACOP #EACOPniTishio