Duage (@naitwaduage) 's Twitter Profile
Duage

@naitwaduage

Mwanadamu| Bald-Lengai| Mbantu| Mswahili| Oloiboni| Kujitambua|| Fikra-Chanya |Fikra-Huru| Kujithamini|

ID: 1669689675953639424

calendar_today16-06-2023 12:53:54

5,5K Tweet

158 Followers

881 Following

Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Mtafiti mbobevu wa SUA Gerald Misinzo akifurahia jambo na viongozi mbalimbali wa Menejimenti ya Chuo mara baada ya kukamilisha tukio la kutoa mhadhara wa uprofesa (Professorial Inaugural Lecture) nje ya Ukumbi wa Baraza wa Chuo Mei 14, 2025.

Mtafiti mbobevu wa SUA <a href="/gmisinzo/">Gerald Misinzo</a> akifurahia jambo na viongozi mbalimbali wa Menejimenti ya Chuo mara baada ya kukamilisha tukio la kutoa mhadhara wa uprofesa (Professorial Inaugural Lecture) nje ya Ukumbi wa Baraza wa Chuo Mei 14, 2025.
Magnetics (MG) (@thisismagnetics) 's Twitter Profile Photo

Sisi wanaume is not big deal kabisa. You can ask my name hata Kama tushadate miaka mitano and I will answer politely, hata ukihitaji nianze jitambulisha upya.

Duage (@naitwaduage) 's Twitter Profile Photo

A lot of people read books to teach themselves “what to think”and not “how to think”.People often read books thinking they'll improve their critical thinking however they rarely question/challenge the ideas presented instead accepting everything they read.

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kujipendekeza hakutakiwi tu kukoma kwenye mapenzi, hata kama kuna mwana unahisi anakuona kama umebahatika kuwa na ushikaji naye kaa pembeni kutengeneza utawala wako wenye heshima zake. Hakuna heshima katika kujifedhehesha.

Fadhili Kangusi (@fadhilikangusi) 's Twitter Profile Photo

Hata nikifa leo/kesho, siwezi kuwa mnafiki kwa kusifu watu uongo ili nishibe. Usenge huu siwezi kufanya. Kiburi/dharau za Kihehe ninazo na naziweza.