
Mzizi Mkuu
@mzizimkuu01
ID: 1614322202400153601
14-01-2023 18:04:11
1,1K Tweet
81 Followers
193 Following








Lubasha Jr Na nakwambia,hata aje Rais gani,kwa mentality hizi za Watanzania (watumishi wa Umma),tutapata tabu sana kupiga hatua za kimaendeleo, unless,tuwe na wasimamizi wazuri sana,wengi wajitoe akili tu kama Makonda,wakuu wa Wilaya na mikoa yote wawe aggressive tu,









Sia Da Vinci๐ Ni hizi like na comment tu ndio kitu unataka!? Mpaka kuvuka mipaka na kuvunjia heshima viongozi wa kiimani haya braza! Yangu ndio hii na like nakuwekea sehemu uake utaangalia๐ kama zinakupa utajiri uzidi kubarikiwa!
