Mwigulu Nchemba, PhD(@mwigulunchemba1) 's Twitter Profileg
Mwigulu Nchemba, PhD

@mwigulunchemba1

Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Economist | MP | Proudly Father |

ID:1872561842

linkhttp://mof.go.tz calendar_today16-09-2013 18:14:06

4,2K Tweets

534,7K Followers

361 Following

Follow People
Mwigulu Nchemba, PhD(@mwigulunchemba1) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeupokea ujumbe wa Kamati ya LAAC ya Bunge la nchi ya Zambia, ambao wapo nchini kwa ziara ya mafunzo kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuona namna ya utoaji na utekelezaji wa fedha za mfuko wa jimbo kwa Wabunge hapa nchini.

account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

▪️TAASISI ZA SERIKALI ZATAKIWA KUANZISHA HATIFUNGANI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia…

📍Dodoma ▪️TAASISI ZA SERIKALI ZATAKIWA KUANZISHA HATIFUNGANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema kuwa hadi kufikia tarehe 31 Desemba 2023, mikopo yenye jumla ya shilingi trilioni 33.2 imetolewa na Benki na taasisi za fedha ambazo hutoa mikopo yenye dhamana inayotosheleza (fully secured), yenye dhamana inayotosheleza sehemu tu ya mkopo (partially secured) na…

DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE(@dsetanzania) 's Twitter Profile Photo

15.05.2024 : Hafla ya uorodheshwaji wa Hatifungani ya Kijani ya Miundombinu ya Maji Tanga iloyofanyika jijini Dodoma ukumbi wa Kambarage iliyokua na lengo la kukusanya TZS 53.12 bilioni.

15.05.2024 : Hafla ya uorodheshwaji wa Hatifungani ya Kijani ya Miundombinu ya Maji Tanga iloyofanyika jijini Dodoma ukumbi wa Kambarage iliyokua na lengo la kukusanya TZS 53.12 bilioni.
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari imeahidi kufanya kazi kwa pamoja hasa katika kipindi hiki cha Bajeti kuelekea uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali inayotarajiwa kuwasilishwa Bungeni hivi karibuni.

Hayo yameelezwa na Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi Salome…

Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari imeahidi kufanya kazi kwa pamoja hasa katika kipindi hiki cha Bajeti kuelekea uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali inayotarajiwa kuwasilishwa Bungeni hivi karibuni. Hayo yameelezwa na Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi Salome…
account_circle
Mwigulu Nchemba, PhD(@mwigulunchemba1) 's Twitter Profile Photo

Nimekutana na Bw. Shigeki Komatsubara , Mwakilishi
Mkazi wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa Nchini – UNDP Tanzania , tumejadili masuala muhimu ya ushirikiano wa kukuza Uchumi wa Wananchi. Serikali inaendelea kutoa rai kwa Taasisi mbalimbali kuja kuwekeza nchini katika sekta za…

account_circle
UNDP Tanzania(@undptz) 's Twitter Profile Photo

🤝 UNDP Tanzania ResRep Shigeki Komatsubara and Tanzanian Finance Minister Mwigulu Nchemba, PhD had a fruitful meeting discussing our strong partnership & ongoing support through . Committed to promoting good governance & investing in 🇹🇿's path to middle-income status.

🤝 @undptz ResRep @komatsubarasan1 and Tanzanian Finance Minister @mwigulunchemba1 had a fruitful meeting discussing our strong partnership & ongoing support through #UNSDCF. Committed to promoting good governance & investing in 🇹🇿's path to middle-income status. #Development
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (@UNDP ), kuiunga mkono Serikali katika uelekeo wake wa kuwekeza kwenye sekta za uzalishaji ili kuondoa umaskini kwa wananchi.

Rai hiyo…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (@UNDP ), kuiunga mkono Serikali katika uelekeo wake wa kuwekeza kwenye sekta za uzalishaji ili kuondoa umaskini kwa wananchi. Rai hiyo…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, katika ofisi za Wizara ya Fedha Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, katika ofisi za Wizara ya Fedha Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo TIB, Bi. Lilian Mbassy, baada ya kumalizika kwa mkutano na ujumbe wa Benki hiyo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw.…

📍Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo TIB, Bi. Lilian Mbassy, baada ya kumalizika kwa mkutano na ujumbe wa Benki hiyo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw.…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji wa fedha  kwa mtu, kama kigezo  cha kusaidiwa kupata mafao yao, Kwakuwa huduma hiyo hutolewa bure.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ambaye…

Wizara ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji wa fedha  kwa mtu, kama kigezo  cha kusaidiwa kupata mafao yao, Kwakuwa huduma hiyo hutolewa bure. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ambaye…
account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Wananchi wanatakiwa kufahamu jambo moja; unapoiacha risiti kwa mtoa huduma pale haikusaidii wewe bali ni unamuachia mfanyabishara fedha ambayo sio yake, ile risiti ya EFD ndio yenye mapato ya Serikali yatakayokusaidia hata wewe kwenye maendeleo, tudai risiti kuisaidia Serikali…

“Wananchi wanatakiwa kufahamu jambo moja; unapoiacha risiti kwa mtoa huduma pale haikusaidii wewe bali ni unamuachia mfanyabishara fedha ambayo sio yake, ile risiti ya EFD ndio yenye mapato ya Serikali yatakayokusaidia hata wewe kwenye maendeleo, tudai risiti kuisaidia Serikali…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @Mwigulunchemba1 (Mb), amewahakikishia wafanyabiashara nchini kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatambua mchango mkubwa wa sekta binafsi hususan wafanyabiashara…

Ally Salum Hapi(@AllyHapi) 's Twitter Profile Photo

Old Kiomboi, IRAMBA. Asanteni ndugu zangu. Iramba ya CCM, Iramba ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Iramba ya Madelu🔥

Old Kiomboi, IRAMBA. Asanteni ndugu zangu. Iramba ya CCM, Iramba ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Iramba ya Madelu🔥
account_circle
NCBA Bank Tanzania(@NCBATanzania) 's Twitter Profile Photo

The CEO of NCBA Bank, Mr. Claver Serumaga, has met with the Honourable Minister of Finance, Dr. Mwigulu Nchemba, at his office in Treasure Square, Dodoma. The discussions centered on NCBA Bank's cooperation with the Government to support Tanzania's development.

The CEO of NCBA Bank, Mr. Claver Serumaga, has met with the Honourable Minister of Finance, Dr. Mwigulu Nchemba, at his office in Treasure Square, Dodoma. The discussions centered on NCBA Bank's cooperation with the Government to support Tanzania's development. #GoForIt
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

VIDEO:

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akimsaidia kumsukuma kwenye kiti cha Kutembelea Mwenyekiti wa Chama Cha Wabunge cha kutokomeza Malaria Tanzania Mbunge wa viti maalumu Mhe. Riziki Lulida .

account_circle