profile-img
Ministry of Finance Tanzania

@mofURT

Official Page of the Ministry of Finance of Tanzania | Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Fedha Tanzania.

calendar_today12-05-2021 15:58:11

2,4K Tweets

12,6K Followers

98 Following

Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @Mwigulunchemba1 (Mb), amewahakikishia wafanyabiashara nchini kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatambua mchango mkubwa wa sekta binafsi hususan wafanyabiashara

account_circle