
Mwanaisha Mndeme
@mwanaishamndeme
Advocate,Notary Public & Commissioner for Oaths|Secretary for Foreign Affairs|Shadow Minister for Industry and Trade @ACTWazalendo|Tanzanian
ID: 978577444239265792
http://Www.womenandyouthvoice.co.tz 27-03-2018 10:20:18
18,18K Tweet
13,13K Takipçi
681 Takip Edilen



Operesheni Maji Maji imeingia Jimbo la Chamazi Jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu Bara Mstaafu, Joran Bashange na Naibu Katibu Ngome ya vijana_Official Taifa, Ruqayya Mahmoud Nassir Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


Usikae mbali. Ni kesho Inshallah Ismail Jussa Othman Masoud Othman #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili



Leo KC Dorothy Semu yuko Jimbo la Shinyanga Mjini. Ndugu NTOBI Naibu Waziri Kivuli wa TEHAMA, ambaye pia ni Mwashinyanga—atakuwepo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


Operesheni Majimaji Leo Julai 6, 2025 Msafara wa KC wa Zamani Zitto MwamiRuyagwa Kabwe uko Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo



"Uganda ardhi inayolima kahawa ni hekta 80,000 hivi, Tanzania ardhi hekta 270,000. Uganda mwaka wa jana wamepata USD bilioni 2 kwenye kahawa, sisi tumepata USD milioni 300. CCM imeshindwa kusimamia kilimo na wakulima.” KC wa Zamani Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Leo Naibu Katibu wa Ngome ya Wazee Taifa, Ndugu Ally Mtumweni amefanya mazungumzo na Uongozi wa Ngome Jimbo la Tanga Mjini. Kikao hichi kina madhumuni ya kuwandaa wazee wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba. Iso kongwe haivushi. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


Operesheni Majimaji Jimbo la Temeke Ni nchi nzima! Majimbo yote kufikiwa iwe kwa mikutano ya hadhara ama kwa vikao vya ndani. Madhumuni ni kuwandaa viongozi na wanachama wetu kuelekea uchaguzi mkuu. Shekhe Ponda na Ruqayya Mahmoud Nassir leo walikuwa TEMEKE Oktoba #LindaKura


Shinyanga imekuwa Zambarau. Na nikawaomba viongozi wangu, tutambe na zambarau kwenye barabara za Kata ya Ngokolo zilipo ofisi mpya za kisasa za ACTWazalendo #TheFutureIspurple 🔥 #MuhuniHasusiwi ✊🏾


Kulikuwa na kikao cha ndani baina ya KC Dorothy Semu na viongozi wa kata zote za Jimbo la Shinyanga Mjini. Watia nia pia walikuwepo. Hii ni Operesheni Majimaji yenye madhumuni ya kuwandaa viongozi na wanachama kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi



UZI Matukio na picha za Operesheni Majimaji Jimbo la Mbarali. Leo Julai 6, 2025 Msafara KC wa Zamani Zitto MwamiRuyagwa Kabwe uko Mbarali Mkoani Mbeya. Fuatilia katika comments: matukio, picha, video, hotuba na nk Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


KC wa Zamani Zitto MwamiRuyagwa Kabwe akizungumza kwenye kikao cha ndani na viongozi wa Jimbo la Mbarali. Hii ni Operesheni Majimaji inayolenga kuhamasisha wananchi kulinda kura katika uchaguzi wa mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


KC wa Zamani Zitto MwamiRuyagwa Kabwe akizungumza kwenye kikao cha ndani na viongozi wa Jimbo la Mbarali. Hii ni Operesheni Majimaji inayolenga kuhamasisha wananchi kulinda kura katika uchaguzi wa mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Waziri Kivuli wa Fedha ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Kigoma, Ndugu Kiza Mayeye. akizungumza na viongozi wa kata zote za Jimbo la Mbarali. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo



Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Selemani Misango Waziri Kivuli wa Fedha ambaye pia Mwenyekiti wa ACTWazalendo Mkoa wa Kigoma, Ndugu Kiza Mayeye. amezungumza kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Jimbo la Songea. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
