Mudrick Ramadhan Soraga (@mudricksoraga) 's Twitter Profile
Mudrick Ramadhan Soraga

@mudricksoraga

Father | Husband | Minister of Tourism and Heritage- Zanzibar | Member of the House of Representative Bububu

ID: 1228168092838064128

calendar_today14-02-2020 04:05:06

484 Tweet

2,2K Followers

74 Following

SHERIA NGOWI ™ (@sheriangowi) 's Twitter Profile Photo

I'll always be here through thick and thin. You can come to me, I'll listen. I'm your friend, I won't push you away. When you need a hug, my arms are wide open. When you need to talk, I have an open ear. Your growing up and getting older.

I'll always be here through thick and thin.
You can come to me, I'll listen.

I'm your friend, I won't push you away.
When you need a hug, my arms are wide open.

When you need to talk, I have an open ear.
Your growing up and getting older.
Mudrick Ramadhan Soraga (@mudricksoraga) 's Twitter Profile Photo

Jana Tarehe 27 Disemba, 2021 nilikula kiapo rasmi cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar. Kipekee nichukue fursa hii kutoa shukran zangu za dhati kwa Mhe Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kuendelea kuniamini. Ahadi yangu kwako Mhe Rais ni kuwa kamwe sitokuangusha.

Jana nilipata fursa ya kuongea na waandishi wa habari pamoja na Wakuu wa Mikoa juu ya hatua tulizofikia kwa upande wa Serikali katika zoezi zima la ukodishaji wa Visiwa. Jumla Ya Visiwa kumi mpaka sasa vimeshapata Wawekezaji. Kazi iendelee. #wekezazanzibar.

Mudrick Ramadhan Soraga (@mudricksoraga) 's Twitter Profile Photo

Nimepata fursa ya kufanya mazungumzo na waandishi wa habari (Press Conference), ambapo pamoja na mambo mengine tumeweza kujadili juu ya suala zima la maamuzi ya Serikali kuanza kukodisha Visiwa vidogo kwa ajili ya Uwekezaji. #wekezazanzibar

Meeting with the French Business delegation from the CS company who are involved in Radar technology and surveillance. We managed to explain to them the various Investement opportunities that are available in Zanzibar as well as the need to Zanzibar to protect its Exclusive Zones

Kikao cha maandilizi baina ya Mawaziri na Wakuu wa Taasisi tunapoelekea kwenye Mkutano wa Wafanyabiashara kutoka Tanzania na Belgium, nikiwa Mwenyekiti wa Kikao hicho nilisisitiza juu ya umuhimu wa ujumbe wetu kujipanga vizuri katika Kongamano Hilo muhimu na la Kihistoria.

Tukutane Alhamis hii Tarehe 23 Juni, 2022 katika tukio la Kihistoria the first ever Zanzibar - European Business Forum Hii sio ya kukosa #wekezazanzibar

Chen Mingjian 陈明健 (@chenmingjian_cn) 's Twitter Profile Photo

Good news! From now on long-term foreign students who are going to China for academic education can submit their X1 visa applications to the Chinese Embassy in Tanzania. bit.ly/3Kf6g2L

Good news! 
From now on long-term foreign students who are going to China for academic education can submit their X1 visa applications to the Chinese Embassy in Tanzania. bit.ly/3Kf6g2L
Mudrick Ramadhan Soraga (@mudricksoraga) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia moja kwa moja majadiliano yangu na WasafiTv ambapo nitaelezea kwa kina changamoto na mafanikio mbalimbali tulioweza kufikia kupitia Serikali ya Awamu ya Nane Chini ya Uongozi mahiri wa Mhe Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Fuatilia moja kwa moja majadiliano yangu na <a href="/wasafitv/">WasafiTv</a> ambapo nitaelezea kwa kina changamoto na mafanikio mbalimbali tulioweza kufikia kupitia Serikali ya Awamu ya Nane Chini ya Uongozi mahiri wa Mhe Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Mudrick Ramadhan Soraga (@mudricksoraga) 's Twitter Profile Photo

Morning Family it’s been a while since I’ve made any postings on the platform. My account had gone through a few technical glitches happy to inform that all has been resolved. Looking forward to continue providing as much update and information on the day to day affairs.. KAZI!

Mudrick Ramadhan Soraga (@mudricksoraga) 's Twitter Profile Photo

Another good day at the office ufunguzi wa Hoteli ya Kwanza Resort Kizimkazi Zanzibar. Hakika Zanzibar inazidi kufunguka kiuchumi juhudi za Marais wetu wawili Dr Samia Suluh Hassan na Dr Hussein Ali Mwinyi zinaendelea kurejesha imani Kwa Wawekezaji wetu #kaziiendelee

Mkutano Mkuu Maalamu wa CCM Taifa Imemkuwa ni siku mbili bora kabisa wajumbe tukiwa Dodoma ambapo tumeweza kutekeleza wajibu wetu kama wanachama wa Chama cha Mapinduzi.. Ni mwendo wa Samia 2025

Mkutano Mkuu Maalamu wa CCM Taifa
Imemkuwa ni siku mbili bora kabisa wajumbe tukiwa Dodoma ambapo tumeweza kutekeleza wajibu wetu kama wanachama wa Chama cha Mapinduzi.. Ni mwendo wa Samia 2025