KatiKomile (@mtuasili) 's Twitter Profile
KatiKomile

@mtuasili

Mtanzania pekee wa Kawaida

ID: 1125593233

linkhttp://www.giftedhandtools.co.tz calendar_today27-01-2013 16:51:36

16,16K Tweet

4,4K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Jukumu langu la kwanza ni kutangaza viingilio vya mchezo wetu wa Kariakoo Derby dhidi ya Simba SC, Jumatano. Na viingilio vyetu ni kama ifuatavyo: VIP A - 50,000 (sold out) VIP B - 30,000 VIP C - 20,000 ORANGE - 10,000 GENERAL - 5,000 Meneja habari na mawasiliano Ally Kamwe.

KatiKomile (@mtuasili) 's Twitter Profile Photo

Utakuta hii statement imepitia mchakato na upembuzi yakinifu uliogharimu vikao vingi na fedha kisha wakatoka na kitu hii!

iddy nonga (@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

✨BREAKING NEWS! Simba hawajatokea kwenye press conference kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga,naamini ni "Mind game",mnyama hii kitu anaicheza,i think watalipa faini,lakini naona kama wanataka kufanya kitu tofauti kidogo !.

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 "Mchezo wa Derby sio mchezo wa kuongea sana, ni mchezo kwa ajili ya Wachezaji. Wachezaji wangu wanajua nini haswa tunahitaji kwenye mchezo huo. Tunawaheshimu sana Simba lakini sisi ni Young Africans tutafanya kila liwezekanalo tuwe mabingwa" Miloud Hamdi

𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬

"Mchezo wa Derby sio mchezo wa kuongea sana, ni mchezo kwa ajili ya Wachezaji. Wachezaji wangu wanajua nini haswa tunahitaji kwenye mchezo huo. Tunawaheshimu sana Simba lakini sisi ni Young Africans tutafanya kila liwezekanalo tuwe mabingwa" Miloud Hamdi
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Young Africans ni klabu kubwa, tunapaswa kufanya mambo makubwa. Kesho ni siku kubwa na tunahitaji ushindi mkubwa. Hatuna majeruhi wengi, wachezaji waliokosa mchezo uliopita wamejerea kikosini. Kikosi chetu kipo imara tayari kwa mapambano hapo kesho" Miloud Hamdi #TimuYaWananchi

Young Africans ni klabu kubwa, tunapaswa kufanya mambo makubwa. Kesho ni siku kubwa na tunahitaji ushindi mkubwa. Hatuna majeruhi wengi, wachezaji waliokosa mchezo uliopita wamejerea kikosini. Kikosi chetu kipo imara tayari kwa mapambano hapo kesho" Miloud Hamdi

#TimuYaWananchi
Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA MAHAKAMA YA AFRIKA KUTOA UAMUZI JUU YA KESI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA 2025 Nawahimiza Watanzania kufuatilia kwa ukaribu Napenda kuwajulisha Watanzania wote, na wapenda haki ndani na nje ya nchi kuwa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) itatoa uamuzi

TAARIFA KWA UMMA

MAHAKAMA YA AFRIKA KUTOA UAMUZI JUU YA KESI KUHUSU  UCHAGUZI MKUU WA 2025

Nawahimiza Watanzania kufuatilia kwa ukaribu

Napenda kuwajulisha Watanzania wote, na wapenda haki ndani na nje ya nchi kuwa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) itatoa uamuzi
Ado Shaibu (@adoshaibu) 's Twitter Profile Photo

Kesho tarehe 26 Juni 2025, Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, pamoja na mambo mengine, itatoa uamuzi iwapo Uchaguzi Mkuu 2020 ulikuwa huru, wa haki na kuaminika kwenye kesi ya Ado Shaibu and Others Vs United Republic of Tanzania.

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague Young Africans SC 2-0 Simba SC Kiko Wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague

Young Africans SC 2-0 Simba SC

Kiko Wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuwa saa 02:36 asubuhi leo June 29,2025, kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa ambayo imesababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika Mikoa yote inayounganishwa na Gridi hiyo. Taarifa iliyotolewa na TANESCO leo

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuwa saa 02:36 asubuhi leo June 29,2025, kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa ambayo imesababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika Mikoa yote inayounganishwa na Gridi hiyo.

Taarifa iliyotolewa na TANESCO leo
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole na kueleza masikitiko yake kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jana jioni Juni 28, 2025 katika eneo la Sabasaba barabara kuu ya Moshi–Tanga Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro ambapo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole na kueleza masikitiko yake kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jana jioni Juni 28, 2025 katika eneo la Sabasaba barabara kuu ya Moshi–Tanga Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro ambapo