kelvin patrick (@mtotokelvin) 's Twitter Profile
kelvin patrick

@mtotokelvin

Pharmaceutical personnel/Driver๐Ÿ›ป

ID: 1701679094876741632

calendar_today12-09-2023 19:28:24

687 Tweet

214 Followers

283 Following

kelvin patrick (@mtotokelvin) 's Twitter Profile Photo

Eng Gutty @trolltanzania Kiukweli definition ya mapenzi inategemea na hali upo nayo, wapo wanafurahia saizi, wengine wanakana kupenda tena, wapo wamepona na hawakomi n.k. mapenzi yameumbwa na mungu binadam huwezi kuelezea siri yake we shukuru tu upo chaka salama

<a href="/Gutty277/">Eng Gutty</a> @trolltanzania Kiukweli definition ya mapenzi inategemea na hali upo nayo, wapo wanafurahia saizi, wengine wanakana kupenda tena, wapo wamepona na hawakomi n.k. mapenzi yameumbwa na mungu binadam huwezi kuelezea siri yake we shukuru tu upo chaka salama
kelvin patrick (@mtotokelvin) 's Twitter Profile Photo

Hatukuomba tuwe wafupi,wanene sana,wembamba sana,sura mbaya,makalio madogo,weusi,vibamia. Dharau zenu zinatutesa kisaikolojia.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara katika Stendi ya Kaloleni, iliyopo Kata ya Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro, wamelazimika kufunga baadhi ya Maduka yao wakilalamikia kupungua kwa Wateja, hali inayotokana na daladala kushindwa kuingia ndani ya Stendi hiyo kwa ajili ya kushusha na kupakia abiria.

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Hii ajali imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ziba katikati ya Nzega na Igunga ikihusisha basi la kampuni ya Zuberi na Lori. Ndugu zetu wanaokaa mbele apo Mungu awatie nguvu sana

Hii ajali imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ziba katikati ya Nzega na Igunga ikihusisha basi la kampuni ya Zuberi na Lori.

Ndugu zetu wanaokaa mbele apo Mungu awatie nguvu sana