Eng. Dr. Masudi A. Senzia (@msenzia) 's Twitter Profile
Eng. Dr. Masudi A. Senzia

@msenzia

Manager- Environmental Management, Rural Water Supply and Sanitation Agency (RUWASA)

ID: 2412741903

linkhttps://www.ruwasa.go.tz calendar_today15-03-2014 13:09:15

198 Tweet

286 Followers

303 Following

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Breaking News: Kesi ya Yanga na mchezaji Benard Morrison iliyokuwa inasikilizwa leo huko Mahakama ya Usuluhishi CAS imemalizika na maamuzi yatatolewa kabla ya au kufikia Agosti 14. #KitengeSports

Breaking News: Kesi ya Yanga na mchezaji Benard Morrison iliyokuwa inasikilizwa leo huko Mahakama ya Usuluhishi CAS imemalizika na maamuzi yatatolewa kabla ya au kufikia Agosti 14.

#KitengeSports
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka > Kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3, 2021 Soma jamii.app/Desemba3 #JFLeo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka

> Kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3, 2021

Soma jamii.app/Desemba3

#JFLeo
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Tar 8/03/2020 wkt Peter Mtinangi akipigwa kwa kuonyesha ishara ya CDM ktk msafara wa MB Elibariki Kingu wewe ulikuwa DC Arumeru. Tuna taka wajibu wa Serikali ktk uhalifu huu.Usidanganywe ukafunika damu kwa shuka kwani Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote

Tar 8/03/2020 wkt Peter Mtinangi akipigwa kwa kuonyesha ishara ya CDM ktk msafara wa MB Elibariki Kingu wewe ulikuwa DC Arumeru. Tuna taka wajibu wa Serikali ktk uhalifu huu.Usidanganywe ukafunika damu kwa shuka kwani Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Tanzania bwana!Yaani wanaolalamika bei ya mafuta kupanda hawana hata magari na hawana huo uwezo wa kuwa na magari!Lakini kelele zake🙌 Mnalalamika bei imepanda mbona foleni kama yote magari lundo barabarani? Au yanatumia maji? Ukinunua gari lazima uwe na uwezo wa kuliweka mafuta

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Mustakabali wa Cristiano Ronaldo katika klabu ya Man United uko shakani sana baada ya kuripotiwa wiki chache zilizopita kwamba alitaka kupata klabu mpya kwa ajili ya msimu ujao. Mreno huyo ana wasiwasi kuhusu uwezo wa klabu hiyo kushindania mataji msimu ujao na hana furaha.

Mustakabali wa Cristiano Ronaldo katika klabu ya Man United uko shakani sana baada ya kuripotiwa wiki chache zilizopita kwamba alitaka kupata klabu mpya kwa ajili ya msimu ujao.

Mreno huyo ana wasiwasi kuhusu uwezo wa klabu hiyo kushindania mataji msimu ujao na hana furaha.
MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Nimepigiwa simu dakika chache zilizopita nimejulishwa kuwa @mdudechadematz amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi muda huu kwenye barrier ya Mikumi akiwa safarini. Hajaelezwa kosa lake wala anapelekwa wapi zaidi ya kuambiwa kuwa ni maagizo kutoka juu.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#AMPLIFAYA #July29 #3 Polisi Dodoma wananaendelea na uchunguzi kuhusu mtu anaedai kupigwa na Naibu spika Job Ndugai hadi kuzimia.

Eng. Dr. Masudi A. Senzia (@msenzia) 's Twitter Profile Photo

Fidel Castro was a true friend of Tanzania epecially health sector He stood for liberation movement . we will always miss him. RIP