
Leopold Ndumbaro
@mrndumbarojl
Entrepreneur | Expert in Import & Export Facilitation | Director, TradeSafe Intelligence Unit (TSIU) | Driving Strategic Global Trade with Data-Driven Insights
ID: 1415751071419486210
15-07-2021 19:12:25
221 Tweet
229 Takipçi
133 Takip Edilen

Huyu ni DIONIZ KIPANYA Kosa lake ni kurekodi hii video ya msafara wa Rais Samia Suluhu na kushare mitandaon Jeshi la Polisi Rukwa walimuita kwa ajili ya mahojiano ila tangu wakat huo mpaka leo ni miez 5 imepita hatujui walimpeleka wapi. Hatujui kama yupo hai au alishauwawa



Samia Suluhu Kama Dunia ingekuwa ni yenye kudumu na wakazi wake, Basi angekuwa hai Mtume (s.a.w) wa Mwenyezi Mungu, Na mwenye kubakia (milele). Lakini hii (Dunia) itafikia mwisho, pamoja na starehe zake. Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

Samia Suluhu Pole sana Mh Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuondokewa na moja ya mwananchi wako💔💔

Samia Suluhu Hakika kifo ni fumbo. Na wote tutarejea kwake. Lakini kila nikitafakari maneno ambayo hua yanawatoka napata huzuni sana. Imagine huyu alikua katibu mkuu wa CCM aliongea haya kumdhihaki hayati JPM. kanakwamba yeye atabaki milele. Anyway hii iwafikie wote wanaoketi mahali pa juu.


Samia Suluhu Taarifa ya spika imetuarifu kifo bila sababu za kifo hii inaacha maswali mengi kwa wankigamboni, watanzania, Africa pamoja na Familia Tuna haki ya kupata taarifa sahihi kwa wakati ili kuepuka uzushi na hisia tofauti mkizingatia Ndugulile ni mali ya umma Au nakosea mama?

Samia Suluhu Tuendelee kukumbuka umauti daima upo mbele yetu, Tukumbuke kuishi na watu vizuri, tuwekeze mazuri katika maisha ya familia zetu, jamii yetu na taifa kwa ujumla, ili tuweze kumbukwa kwa machache mazuri. Hili litukumbushe siku moja hatuta waona wale tunaowapenda Ugovi, uadui,

Samia Suluhu tunakumbusha kila mtu ataonja mauti na neno la mungu halitopita mpaka yote yatimie, tujifunze madaraka na mamlaka tuliyonayo ipo siku hayatakuwa na maana, tutende mema kama neno lake lisemavyo maana mtu atavuna yale apandayo. neno la mungu lihimidiwe amen

Samia Suluhu Juzi Mafuru kafia India. Leo Faustine Kafia India. Hamsemi viongozi wakiwa wanaumwa angalua ata tuwaombee. Nyie ni kutangaza misiba tu. Kwa Hayati. Magufuli ilikuwa ivi ivi. Sijui huu utamaduni unawasaidia nini. Pia muimarishe health care systems za ndani watu watubiwe ndani.

Samia Suluhu Pole sana alikua mtu poa sana na kiongz mahir

Samia Suluhu Bimkubwa usipokaa vizuri na wanao kabla ya uchaguzi watauana mno kugombea majimbo


Samia Suluhu Buriani Dr. Ndugulile & Lawrence Mafuru. Kwa namna vifo vya ndugu hawa wawili vilivyotokea, I suspect something fishy/sinister therein!

Samia Suluhu Hizi huduma za afya tunazosema tumeboresha ni kwa ajili ya kina nani?




