Mr. Innocent Alex (@mr_innocentalex) 's Twitter Profile
Mr. Innocent Alex

@mr_innocentalex

Leader🌏||Patriotic🇹🇿||Architect🦺||Ardhi University former President 2023/2024||Founder Smart Architects||Yanga FC🔰.

ID: 1693688527152635904

calendar_today21-08-2023 18:16:57

256 Tweet

125 Followers

289 Following

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

🔰IJUE ILANI Kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 24 imeelekeza kutekeleza mpango wa Bima ya Afya kwa Wote. CCM itatekeleza programu na sheria ya Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Insurance)

🔰IJUE ILANI 

Kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 24 imeelekeza kutekeleza mpango wa  Bima ya Afya kwa Wote.

CCM itatekeleza programu na sheria ya Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Insurance)
Aurora (@aurora55436) 's Twitter Profile Photo

The difficulties in life may lead to different results if you think about them from a different perspective. Always maintain a positive attitude to face the unknown future. 🔥

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

MUNGU akigusa maisha yako akakupa mafanikio na Utajiri, daima kumbuka kuwa mwaminifu kwake. Tumia Utajiri wako kulisha familia za wenye njaa, fanikisha ndoto za wengine na fungua milango ya fursa ya wahitaji. Utajiri wako usiwe kwa ajili yako tu bali uwe kwa manufaa ya wengi.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Tujitahidi kuishi kwa hekima na wenzetu kiasi kwamba tusije kuwaumiza mpaka wakamlilia MUNGU kwa ajili yetu. Sala na dua ya mtu anayemlilia MUNGU kwa uchungu sababu ya maumivu uliyomsababishia huwa haiendi bure, MUNGU huwa anajibu.

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye kwenye hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye kwenye hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Haujachelewa; 1. Kuanza Upya 2. Kujenga tabia njema 3. Kufanya unachopenda 4. Kupambania ndoto zako 5. Kuanzisha uhusiano bora 6. Kuamini ukuu wa MUNGU

Haujachelewa;
1. Kuanza Upya
2. Kujenga tabia njema
3. Kufanya unachopenda
4. Kupambania ndoto zako
5. Kuanzisha uhusiano bora
6. Kuamini ukuu wa MUNGU
Nikkwapili (@nikkwapili) 's Twitter Profile Photo

Mtu anapokueleza siri zake za ndani na mambo yanayo muumiza anakueleza ili apone, kati yenu anatengeneza chumba cha uponaji hata kwako pia siku yako ikifika, lakini unapokwenda kuya sambaza kile chumba cha uponaji unakigeuza kuwa chumba cha umauti

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Baadhi yetu tunajenga maisha yetu kuanzia chini kabisa, bila kuwa na utajiri wa familia wala connections za watu wakubwa. Tegemeo letu kuu ni MUNGU mkuu pamoja na nguvu zetu, akili, jasho na damu. MUNGU aendelee kusimama na vijana wote wanaoanza maisha kwa namna hii

BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

'A bullet went through my skull' In the wake of his abduction on a highway in Tanzania's main city Dar es Salaam, social media activist Edgar Mwakabela, better known as Sativa, says he came close to death.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia Waislamu na wananchi wote kheri ya Sikukuu ya Maulid. Kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) iwe sehemu ya tafakari na mafundisho katika maisha yetu juu ya; kuishi katika ukweli, kusimamia haki, upendo na moyo wa kujitoa kwa wenzetu. Tusherehekee kwa furaha

Ninawatakia Waislamu na wananchi wote kheri ya Sikukuu ya Maulid. Kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) iwe sehemu ya tafakari na mafundisho katika maisha yetu juu ya; kuishi katika ukweli, kusimamia haki, upendo na moyo wa kujitoa kwa wenzetu.

Tusherehekee kwa furaha
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Trump amefanya kikao na makampuni makubwa ya Teknolojia USA yakiwepo Apple, Meta, Google na Microsoft. Akawauliza wanawekeza kiasi gani kwenye AI na Ubunifu. Meta na Apple kila mmoja akasema Tsh Trilioni 1485 ndani ya miaka miwili. Hawa jamaa wanawekeza mnoo kwenye Teknolojia.