simwa morgan
@morgansimwa
The Engineer
ID: 3387466371
22-07-2015 15:53:44
500 Tweet
68 Followers
619 Following
Taifa ambalo bunge lake linakiuka waziwazi katiba yake, sheria za kikanda na za kimataifa, na linatumia nguvu dhidi ya wengine, haliwezi kutarajiwa kulinda haki za raia wake, hasa wale wanaokabiliwa na mashtaka yenye msingi wa kisiasa kama Tundu Antiphas Lissu Bunge la Tanzania African Commission on Human and Peoples' Rights