Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile
Mtoi Mohamedi Mtoi

@mohamedimtoi

Mratibu wa kanda Taifa | Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA]

ID: 177567223

linkhttp://www.chadema.or.tz calendar_today12-08-2010 13:43:48

6,6K Tweet

8,8K Followers

1,1K Following

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Sasa hao wasio jitekenya huko waliko kuwa naye si ndio wangemshughulikia ikiwa ni pamoja na kumshtaki?! x.com/salim_alkhasas…

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuwa hakuna chombo chochote chenye mamlaka kilichodhibitisha uchafu wake NDIO msafi. TENA MSAFI SANA. x.com/salim_alkhasas…

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Umejitahidi walau kuandika sababu ambazo kimsingi hazina mashiko na Lowassa tayari ni mgombea. Jaji Lubuva anajua x.com/cw_pedro/statu…

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Gari linapita! "...Kesho usafiri wa kwenda na kurudi Lushoto mjini ni bure, kila mtu ajitokeze, kofia, Madera na T shirt zitakuwepo..."

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna kitu CCM wamefanikiwa nchi hii ni kuwafanya wananchi kuamini kuwa mgombea anakuja na furushi la fedha za kuwagaia ndio wampe kura.

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

NEC inaweza kulisaidia Taifa letu lisiingie kwenye machafuko kwa kuhakikisha matokeo ya kweli ya wagombea wote yanabandikwa vituoni.

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2010 Dr Slaa alisema "...kuendelea kuichagua CCM ni maafa... " Miaka 5 baadae amejipoteza kwenye siasa kwa kujishusha hadhi yake.

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Nimetafakari heshima kubwa aliyokuwa nayo Dr Slaa, baada ya yaliyotokea nimejiridhisha kuwa huenda angekuwa rais mbovu kuliko Marais wote.

Mtoi Mohamedi Mtoi (@mohamedimtoi) 's Twitter Profile Photo

Kibaya zaidi alishapewa nyaraka za ufisadi wa Magufuli kuuza nyumba lakini bado anatuaminisha kuwa ni mtu safi. x.com/bwaya/status/6…