Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile
Mohamed Mo

@mohamed22127828

Hi! i am Mohamed a Digital marketer helping businesses gain strong social media presence (social media marketing) Welcome.

ID: 1459394419984064513

linkhttp://www.mohamedmo.com calendar_today13-11-2021 05:35:42

387 Tweet

87 Takipçi

224 Takip Edilen

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wazee wa free Wi-Fi Sijui ume connect ukiwa wapi....?Restaurant,Hotelini,mjini etc Usisahau kuziba web camera yako (camera ya mbele) Kwa stika au karatasi utanishukuru baadae.

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

"Jamani kuweni makini kwenye interaction na watu hasa "Vijana" wengi wanapitia msongo mkali wa mawazo na imesababisha changamoto za Afya ya akili so kuweni makini ukiona mtu anakuja juu bila sababu just be humble na mchukulie kwa umakini Ni basi tu mtaani hakuna GUN 🔫"

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

UCHAWI ni kikwazo kikubwa cha maendeleo! Siku tukiweza ku deal na wachawi na uchawi, tutatoboa. Wazungu waliweza kutoboa baada ya kuwachoma na kunyonga wachawi kibao(Witch Hunts) Miaka ya 1400s hadi 1700s huko. Sisemi tufanye the same...ila inabidi tupate njia ya kudeal nao.

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

Watu hawajui kama ATM inatumia internet? 😂 Anyway ukiingiza taarifa zako kwenye ATM zinatumwa kwenye Host processor/server ya Bank ambayo imeungaishwa na ISP, ukitaka kutoa pesa, ATM inawasiliana na mifumo ya benki ili kuruhusu kutoa hela, hela zinatunzwa kwenye Cash dispenser.

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

Jana, kuna dogo alitaka kufahamu mwaka niliozaliwa! Nikamjibu 1985. Akaniuliza kama nilikuwa MTUMWA (slave) wakati wa Biashara ya Utumwa! 😂 Nikamuuliza yuko darasa la ngapi – akajibu Kidato cha Pili. Unadhani tatizo ni Mwalimu au dogo ndio KILAZA?🤔

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

Ukipiga simu customer service ili wapokee haraka changua lugha ya "mzungu" watapokea haraka... then anza na how are you..? baadae tiririka na kiswahili. 👋

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

Dear Ladies, ……….…… Kuna utaratibu na namna ya kumuomba mwanaume Hela/Pesa, Either awe Mumeo, Rafiki, au Danga. Sio unaomba ombaaa hela kama umeweka kwake. "Nawasemea vijana wenzangu"

Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

Nikupe siri, kama kidogo Budget yako inayumba kama mimi tumia Sansiro zile za elfu tatu (kama kalamu) number E 28,K 79 and M 656 utanishukuru baadae. Hii ni kwa jinsia zote ME/KE

Joseph Kaby (@kabyjoseph) 's Twitter Profile Photo

Sasa hivi nimerudi kwenye energy and power Niche (Solar and HVAC) and matokeo ya new strategy niliyo develop miezi mitatu nyuma yanaanza kulipa £7 a lead na ni HVAC company, £6000 per service (Installation) and conversion rate ni 25% hapo ukipiga ROAS ni zaidi ya 400%

Sasa hivi nimerudi kwenye energy and power Niche (Solar and HVAC) and matokeo ya new strategy niliyo develop miezi mitatu nyuma yanaanza kulipa

£7 a lead na ni HVAC company, £6000 per service (Installation) and conversion rate ni 25% hapo ukipiga ROAS ni zaidi ya 400%
Westerwelle Startup Haus Arusha (@wsh_arusha) 's Twitter Profile Photo

Introducing the digital experts taking part in our #DigiTalents program😀. These individuals went through trainings in different areas of program technology. Reach out to them if you need support with topics such as software development, digital marketing, or content creation.

Introducing the digital experts taking part in our #DigiTalents program😀. 

These individuals went through trainings in different areas of program technology.

Reach out to them if you need support with topics such as software development, digital marketing, or content creation.