TeddyB🌸 (@theresiabi32920) 's Twitter Profile
TeddyB🌸

@theresiabi32920

ID: 1721827015362273280

calendar_today07-11-2023 09:49:15

609 Tweet

863 Takipçi

304 Takip Edilen

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Najua kuwa kusema uongo au kudanganya si jambo la kiungwana kimaadili, lakini kuna mazingira ambayo ukijifanya unapenda kusema ukweli unaishia kuwa FALA

criannicas♟️ (@criannicas_) 's Twitter Profile Photo

Funniest thing about trading? Ukipata faida let’s say $100 in a hour , unaskia bado haitoshi. But someone out there is working a full shift for that. Greed is of no joke, sometimes unaweza poteza hiyo $100 just because hukua na strict Psychology control. 😅

TeddyB🌸 (@theresiabi32920) 's Twitter Profile Photo

Give me a Name🫩 Nilijua kabisaa itashukwa kwa Line hapo ndo ipae but i entered anyway🙌🏻 Kuna vitu ni kujitakia😆🙌🏻

Give me a Name🫩
Nilijua kabisaa itashukwa kwa Line hapo ndo ipae but i entered anyway🙌🏻
Kuna vitu ni kujitakia😆🙌🏻
TeddyB🌸 (@theresiabi32920) 's Twitter Profile Photo

Last year mwishoni niliamua kujifunza vizuri XAUUSD,mwanzoni mwa mwaka huu Nikasema ntakua na deposit walau 35$-50$ kujifunzia Nikasema nta aim 30$ per day kwa total ya trades ntazochukua kwa siku iwe1,2 au 3(ila ikiwa less au niki lose,au siku ikipita mswaki Its Ok Learning 💙

Last year mwishoni niliamua kujifunza vizuri XAUUSD,mwanzoni mwa mwaka huu 
Nikasema ntakua na deposit walau 35$-50$ kujifunzia
Nikasema nta aim 30$ per day kwa total ya trades ntazochukua kwa siku  iwe1,2 au 3(ila ikiwa less au niki lose,au siku ikipita mswaki Its Ok
Learning 💙
Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

KWENYE FOREX hakuna mtu Mwenye uhakika kuwa ata win trade. Ukikuta mtu anakwambia ANAJUA NI LAZIMA trade flani aliyochukua ita win basi anakupanga na Tofali za Kuchoma! What we do is... Kufanya analysis kulingana na vigezo tulivyojiwekea kulingana na system tunayotumia then

TeddyB🌸 (@theresiabi32920) 's Twitter Profile Photo

Na Kesho ,it will technically align with you,the time you buy or sell it goes miles thee opposite direction🫩🫩Acha nijipee likizo nirudie Avengers zote😪🙌🏻