Mnada Nchege (@mnadanchege) 's Twitter Profile
Mnada Nchege

@mnadanchege

Mkulima

ID: 2414301461

linkhttp://Nchege.co.tz calendar_today16-03-2014 04:12:16

7,7K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

#FreeKaswahili Kaswahili was last seen May 22 and has disappeared - an active Chadema member who had been abducted before and threatened many times! Police Force TZ mara ya mwisho alioowasiliana na wenzake alisema amechoka amepumzika - inasemekana alifuatwa nyumbani! Tunataka majibu!

#FreeKaswahili 
Kaswahili was last seen May 22 and has disappeared - an active Chadema member who had been abducted before and threatened many times!
<a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> mara ya mwisho alioowasiliana na wenzake alisema amechoka amepumzika - inasemekana alifuatwa nyumbani!
Tunataka majibu!
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kwani kuna mwenye haki zaidi ya kuishi? Mwigulu Nchemba, PhD unajiona una haki ya kuishi kwa amani na familia yako kuliko Mdude Nyagali ? Unaleta bango la kipuuzi unatutia hasira bure! Kudai #NoReformsNoElection siyo vita kwa watanzania bali kwenu madhulmat! 🙄 Usitutie hasira!

Kwani kuna mwenye haki zaidi ya kuishi? <a href="/mwigulunchemba1/">Mwigulu Nchemba, PhD</a> unajiona una haki ya kuishi kwa amani na familia yako kuliko <a href="/mdudenyagali/">Mdude Nyagali</a> ?
Unaleta bango la kipuuzi unatutia hasira bure! Kudai #NoReformsNoElection siyo vita kwa watanzania bali kwenu madhulmat! 🙄 
Usitutie hasira!
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Jambo la msingi kwetu ni kwamba tulifanya kila tuwezalo kuhakiksha Nchi hii inakuwa na thamani ktk kujali jamii bora akiwemo mtoto wako. Hii ni fahari kubwa kwetu.Kwani ni heri haki inayoambatana na shida kuliko fahari iliyojaa kiburi,dhuluma na uuaji. Mtaanguka, Mtaanguka maana

CHAMA Kinauwezo wa kujiendesha kwa spirit ya namna hii. Watu 100,000 Mkitoa 10,000 Kwa Mwezi = Bilioni 1. Hatuna shida ya hela tuna shida ya commitment ktk mambo mema. Mpesa 0744446969CHADEMA HQ

CHAMA Kinauwezo wa kujiendesha kwa spirit ya namna hii. Watu 100,000 Mkitoa 10,000 Kwa Mwezi = Bilioni 1. Hatuna shida ya hela tuna shida ya commitment ktk mambo mema. Mpesa 0744446969CHADEMA HQ
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Good morning #Tanzania We went to sleep and woke up saying #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Good morning #Tanzania
We went to sleep and woke up saying 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection  
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Hapa kwetu kila mara wanauwawa watu mikononi mwa polisi kama kuku. Tunahitaji kubadili katiba, tubadili uongozi turekebishe Nchi. #NoReformsNoElection

Hapa kwetu kila mara wanauwawa watu mikononi mwa polisi kama kuku.

Tunahitaji kubadili katiba, tubadili uongozi turekebishe Nchi.

#NoReformsNoElection
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA:ASKOFU RUWAICHI:TANZANIA HAINA SIFA TENA YA KUJIITA KISIWA CHA AMANI “Tupende kushughulikia mambo yetu kwa msingi wa ukweli zaidi, msingi wa haki, msingi wa amani na msingi unaompendeza Mungu. Kusudi tuweze kweli kudai kwamba sisi ni kisiwa cha amani, katika yale

#TANZANIA:ASKOFU RUWAICHI:TANZANIA HAINA SIFA TENA YA KUJIITA KISIWA CHA AMANI
“Tupende kushughulikia mambo yetu kwa msingi wa ukweli zaidi, msingi wa haki, msingi wa amani na msingi unaompendeza Mungu. Kusudi tuweze kweli kudai kwamba sisi ni kisiwa cha amani, katika yale
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

We used to have pretty women and hard-working men. Now we have pretty men and hard-working women. Times have changed Bro !! We Need Reforms Everywhere. 

K24 TV (@k24tv) 's Twitter Profile Photo

Hussein Khalid: We have lost yet another young life after an arrest by the National Police Service of Kenya. Without a doubt, Ajwang was in the hands of the police, and right now he is no more. We will continue to fight to save our Kenyan youth. #K24Updates

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

😀😀Tanzanians on Instagram 🫡 #NoReformsNoElection impact is huge! They have unfollowed this celeb comedian Hakika Ruben he went from 1.4m followers to 1.3m followers 😃 Naona kwa sasa Instagram wapo serious zaidi! Mchekeshaji Hakika Ruben analia msimfanyie hivyo! Sasa

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Hiki kiburi kitaisha ❌ Mungu anawapiga upofu na hamshtuki! Eniwei Chama Cha Mapinduzi mwisho wenu umeshafika na umeandikwa mbinguni na duniani - tunasubiri muda tu haya yajidhhirishe kikamilifu machoni Mtakuja kuniambia ila ndo Ukweli #NoReformsNoElection haiepukiki tena!

Hiki kiburi kitaisha ❌
Mungu anawapiga upofu na hamshtuki! 
Eniwei <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> mwisho wenu umeshafika na umeandikwa mbinguni na duniani - tunasubiri muda tu haya yajidhhirishe kikamilifu machoni
Mtakuja kuniambia ila ndo Ukweli 
#NoReformsNoElection haiepukiki tena!
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Duuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!Hatari Sana hii. Hata yeye Rais hawezi kufurahishwa na uchawa na upambe wa kipumbavu hivi, kwa maana anajua hapaswi kulinganishwa na Mwenyezi Mungu hata kidogo.

Najua Pia Nina Uhakika Hauwezi Kushindwa Ku UNFOLLOW MACHAWA Wote. Hawa Wanaonekana Watu Wa Maana Kwa Sababu Ume Wa Follow Unawaunga Mkono. Pls Unfollow Them Now. Haya Ni Maandamano Yenye Maana.

Sawa endeleeni Mzee. Umefurahi sasa ? Mithali 12:15 “Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri”.

Sawa endeleeni Mzee. Umefurahi sasa ? 

Mithali 12:15 “Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri”.