CPSP (T) MUSSA MWAKITINYA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@mmwakitinya) 's Twitter Profile
CPSP (T) MUSSA MWAKITINYA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@mmwakitinya

MTOTO WA MUNGU. MHEHE - DODOMA, MPWAPWA, KIBAKWE Philipians4:13

ID: 299592725

linkhttp://www.facebook.com/mussamwakitinya calendar_today16-05-2011 11:03:37

3,3K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Walichotamani kupata Mange na Liberatus jana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Walichotamani kupata Mange na Liberatus jana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
CPSP (T) MUSSA MWAKITINYA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@mmwakitinya) 's Twitter Profile Photo

Wakati naendelea na Ziara ya Kuomba Kura za CCM nimefika Chato lilipo Kaburi la Hayati Dkt John Pombe Magufuli na Kuomba Roho yake Iendelee Kupumzika Kwa Amani. Ziara ya Kuomba Kura za CCM Inaendelea hapa Geita kupita Vijiwe kwa Vijiwe, Mitaa kwa Mitaa na Chocho kwa Chocho πŸ™πŸΎ

Wakati naendelea na Ziara ya Kuomba Kura za CCM nimefika Chato lilipo Kaburi la Hayati Dkt John Pombe Magufuli na Kuomba Roho yake Iendelee Kupumzika Kwa Amani.

Ziara ya Kuomba Kura za CCM Inaendelea hapa Geita kupita Vijiwe kwa Vijiwe, Mitaa kwa Mitaa na Chocho kwa Chocho πŸ™πŸΎ
Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Tuliyosema Oktoba 29 yanaanza kuonekana hadharani. Wameshindwa tukio lile wanajipanga upya. Tuko macho. Hatapona mtu. Tanzania itabaki salama.

Tuliyosema Oktoba 29 yanaanza kuonekana hadharani. Wameshindwa tukio lile wanajipanga upya. Tuko macho. Hatapona mtu. Tanzania itabaki salama.
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Hii ni Hatari Wanapanga kuharibu Minara ya Simu na Internet. Inasikitisha sana kwa kweli watanzania wote kwa Pamoja tuseme HATUTAKI TENA!!

Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

Huu ndio uthibitisho wa namna Rais anavyopaswa kuwa: uongozi madhubuti, maono, na mamlaka kamili yanayotumiwa kwa maslahi ya taifa.

Huu ndio uthibitisho wa namna Rais anavyopaswa kuwa: uongozi madhubuti, maono, na mamlaka kamili yanayotumiwa kwa maslahi ya taifa.
Getrude Mollel πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

Dear Meta thank you for taking the action to deplatform Mange Kimambi. For many years she has been an extortionist and a bully who illegally benefited from the pains of her victims. She has paid for illegally obtained private information to resell them on her account at 50

Dear
<a href="/Meta/">Meta</a>
thank you for taking the action to deplatform Mange Kimambi. For many years she has been an extortionist and a bully who illegally benefited from the pains of her victims. She has paid for illegally obtained  private information to resell them on her account at 50
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

TUMPATE NANI KAMA SAMIA? NI MAMA ANAYEJALI NA MWENYE HURUMA Leo Disemba 24, 2025 ni siku Moja kabla ya Wakristo kote duniani kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, Mfalme wa amani- Rais Wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatimiza takribani siku 1,742 Miezi 57 na siku sita

TUMPATE NANI KAMA SAMIA? NI MAMA ANAYEJALI  NA MWENYE HURUMA

Leo Disemba 24, 2025 ni siku Moja kabla ya Wakristo kote duniani kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, Mfalme wa amani- Rais Wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatimiza takribani siku 1,742 Miezi 57 na siku sita
Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Amkeni. Amkeni ndotoni. Hakutakuwa na Serikali ya nusu mkate. Hakutakuwa na nafasi ya dezo kuingia kwenye Serikali. Hakutakuwa na msamaha kwa kesi ya uhaini. Kama mnataka kuendelea na kazi ya siasa 2030 ingieni kwenye uchaguzi. Amkeni ndotoni. Hakuna dezo. Mtakuja kuniambia.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Wananchi wa Itigi, Wilayani Manyoni mkoani Singida wamelalamikia kutozwa fedha za matibabu kinyume na utaratibu pamoja na kutokuzingatiwa kwa maadili na uadilifu katika utoaji wa huduma za afya. Wananchi hao wametoa kero hizo mbele ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo