MLIPAKODI (@mlipakodi_) 's Twitter Profile
MLIPAKODI

@mlipakodi_

ID: 1700521314555973632

calendar_today09-09-2023 14:47:42

4,4K Tweet

294 Takipçi

721 Takip Edilen

Magna Carta (@magnacartavoice) 's Twitter Profile Photo

Voting without reforms is like swimming with chains on. Tanzanians deserve free, fair, and fearless elections. We won’t settle for less. #Tanzania #NoReformsNoElection

Voting without reforms is like swimming with chains on. Tanzanians deserve free, fair, and fearless elections. We won’t settle for less.
#Tanzania #NoReformsNoElection
Chadema Diaspora (@chademadiaspora) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Chadema Bara, Mh John Heche akizungumza na Wananchi wa Jiji la Dodoma Mkoa wa Dodoma.Ziara ya No Reforms No Election inaendelea Kanda ya Kati. #NoReformsNoElection #FreeTunduLissuNow

Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amezungumza na Wananchi wa Jiji la Dodoma kwenye muendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection

Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amezungumza na Wananchi wa Jiji la Dodoma  kwenye muendelezo wa  Operesheni #NoReformsNoElection
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mliokaribu na Idd Amini Mama mfikishieni huu ujumbe kutoka kwa Wananchi wa Dodoma. Si mnawasikia wenyewe wanaimba "Tunamtaka Tundu Lissu, Tunamtaka Tundu Lissu, Tunamtaka Tundu Lissu"

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#GoodNews DODOMA IMEVUNJA RECORD ya #ToneTone zote ambazo CHADEMA imewahi kufanyika nchini tangu ziara ya #NoReformsNoElection ianze. Leo tumekusanya Milioni mbili na laki saba na elfu sitini na sita na miatatu hamsini.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Dodoma Mjini - CHADEMA tumekusanya #ToneTone kiasi cha Tsh. 2,766,350/-…. RUZUKU ya kiwaki HATUTAKI. Kumuonesha MSAJILI kwamba chama chetu tunaweza kukiendesha wenyewe, angusha TONE lako kuwezesha mikutano mingine kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. People’s Power. 👊🏾

MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 (@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

TONE TONE la DODOMA ni Shilingi na Midola yaani SOMO limewaingia Mhe MNYIKA ameamua kuingia FIELD if you know you know my niga hii game haihtaji hasira inahistaji matured people

TONE TONE la DODOMA ni Shilingi na Midola yaani SOMO limewaingia Mhe MNYIKA ameamua kuingia FIELD if you know you know my niga hii game haihtaji hasira inahistaji matured people
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ukizoom hapo utaona zimejaa BUKU, buku mbili na buku tano chache. Zote hizo zimefikisha jumla ya Tsh. 2,766,350/= Fikiria NYOMI iliyokuwepo hapo uwanjani leo. DODOMA MMETISHA KINOMA.🔥 #NoReformsNoElection #ToneTone #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Ukizoom hapo utaona zimejaa BUKU, buku mbili na buku tano chache.

Zote hizo zimefikisha jumla ya Tsh. 2,766,350/= 

Fikiria NYOMI iliyokuwepo hapo uwanjani leo.

DODOMA MMETISHA KINOMA.🔥

#NoReformsNoElection 
#ToneTone

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎