Mukhsini Mkwavila🇹🇿 (@mkwavila29) 's Twitter Profile
Mukhsini Mkwavila🇹🇿

@mkwavila29

Lawyer,Dealer of sportwears $ outfits

ID: 1581183123630481408

calendar_today15-10-2022 07:21:31

1,1K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Hii ni shule ya Kata ambayo ni ya kisasa iliyojengwa Ukonga Dar es Salaam yenye ghorofa 4 na yenye lift ambayo zaidi itakuwa inatumiwa na wanafunzi wenye mahitaji maalamu. Shule hii imejengwa kwa mapato ya ndani ya zaidi ya Tsh Bilioni 2.

𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 (@majizo_jr) 's Twitter Profile Photo

𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗭𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 25+ 𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗛𝗔𝗣𝗔. Maendeleo ya Kifedha kwa mtu binafsi, Yanaweza kupitia katika hatua kuu 4, Kuelewa hatua hizi ni jambo la Msingi, ili Kutathmini ulipo na kupanga unako✈️ Shuka na Uzi ⤵️

𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗭𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 25+ 𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗛𝗔𝗣𝗔.

Maendeleo ya Kifedha kwa mtu binafsi,

Yanaweza kupitia katika hatua kuu 4,

Kuelewa hatua hizi ni jambo la Msingi,

ili Kutathmini ulipo na kupanga unako✈️

Shuka na Uzi ⤵️