
David Mwikabe
@mkuriapundit
A father, Consultant, Social animal, God Fearing, Future Kuria East Mp, Wakuria Wamechoka Kusubiri Maendeleo na County
ID: 827082527219261442
02-02-2017 09:13:35
9,9K Tweet
1,1K Takipçi
7,7K Takip Edilen

The Government Critic 🇰🇪 Swali ni Je, kuuliza tu, " Kusema , kama hakutakuwa na mabadiliko ya kanuni za chaguzi kuweka uwanja sawa kwa wagombea , hakutakuwa uchaguzi mwakani ni makosa ? " Kama kuna sheria kusema ni makosa basi , mabadiliko is over due. Jirani kuona huo kuwa uonevu ni dhambi?

The People’s Watchman Agather Atuhaire Njeri Mwangi Sema Ukweli Pole wira ni wira, if you think you are small a difference, try spend a night with a mosquito!! Wanaume ni kujaribu.

Harry Mege Hon. Aden Duale, EGH My friend Luo Nyanza have gotten every 5 years 120billions , kisii 60 b , mrima 10 counties including Nakuru and Laikipia 600 billions kales 180b excluding West Pokot, Samburu and Turkana, Western Luhya 150 B yet Wakuria get Zero, before we reduce Counties we must our share!!!

Hilda Newton Martha Karua SC Saangine ni vizuri Jambo kutokea ukajue jirani anakuchukulia vipi? Ka si wivu basi kuna fitina vya kimkoa kati ya Bongo na Kenya. Aisee Yaani Wakenya kwenda tu kusema Tundu pia anahaki kusikilizwa ama Chadema kupewa uwanja sawa katika uchaguzi ujao, Je, hili ni kosa gani?

The Chanzo Tunaomba radhi kama kuja Tanzania kusema , kutia Tundu ndani gherezani na uchaguzi upo mwakani kwa kudai mazingara bora za chaguzi , si haki na huenda ikachochea sintofahamu na kufuruga amani ambayo mnalilia sana . Aisee , ajabu sana

The Citizen Tanzania Kitanda usicho kilalia hujui kunguni wake. maisha ya umonogamy yaani mke mmoja kama vile CCM ya jirani ni kitanda chao, wape mda kesho ipo.

Mutembei TV Oundo has put it correct, listen to the message and spare the messenger. Those who want him arrested are the ones calling for early violence.

John Heche Martha Karua SC Mura ngaareya , watu ni wale wale tu, kusifia tu. Aibu aisee

Citizen TV Kenya Waaah! Sad, anybody against informers and honest chritism or correction is guilty of sins . Unless we stop apportioning blame and go for solutions head on, we shall pay the price of rejection, disrespect and be the laughing stock by neighbours. Is it difficult to stop evil?


Rio Ferdinand Luttah TNT Sports Football on TNT Sports You are a legend Rio, find time for African story too. Well done



Hon.Gathoni Wamuchomba, HSC, MP Wow brain sew gut. Tell them. Shameful, it is like your mother's marriage challenges instead of focusing on yours. It is a joke. How do you sit to dwell on the 2017 report about drug abuse then and not giving attention to the current situation.





