Minja Jr (@minjajr1) 's Twitter Profile
Minja Jr

@minjajr1

Teacher || B&I || Football fan

ID: 724892130687197185

calendar_today26-04-2016 09:25:26

3,3K Tweet

586 Takipçi

856 Takip Edilen

Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

LIKO WAPI SANDUKU LA AGANO? Sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt wakielekea promised land. Sanduku hilo lilikuwa ni kama box la mbao lililotengenezwa na aina moja ya mbao inayoitwa Acacia wood iliyofunikwa na

LIKO WAPI SANDUKU LA AGANO? 

Sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt wakielekea promised land.

Sanduku hilo lilikuwa ni kama box la mbao lililotengenezwa na aina moja ya mbao inayoitwa Acacia wood iliyofunikwa na
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

WAFAHAMU JESUITS NB: Katika jamii zote za siri duniani, hakuna jamii ya siri iliyoko juu kuliko hawa jamii ya Yesu (Society of Jesus) Ni shirika la Kanisa Katoliki ambalo linafafanuliwa kama utaratibu wa kidini. Hii inahusu ukweli kwamba imeundwa na kikundi cha wanachama ambao

WAFAHAMU JESUITS

NB: Katika jamii zote za siri duniani, hakuna jamii ya siri iliyoko juu kuliko hawa jamii ya Yesu (Society of Jesus)

Ni shirika la Kanisa Katoliki ambalo linafafanuliwa kama utaratibu wa kidini.

Hii inahusu ukweli kwamba imeundwa na kikundi cha wanachama ambao
Unite (@ifafricaunite) 's Twitter Profile Photo

Waungwana leo ndio nimejua kuwa.. Kule Marekani kuna mji unaitwa Centralia, uko Pennsylvania. Mji huo umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, na inasemekana moto huo utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo. Story yake ilikuwa hivi.

Waungwana leo ndio nimejua kuwa..

Kule Marekani kuna mji unaitwa Centralia, uko Pennsylvania.

Mji huo umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, na inasemekana moto huo utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo.

Story yake ilikuwa hivi.
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Waafrika/Watu weusi ndio Waisraeli halisi, Ila sio kila Mtu mweusi ni Muisraeli NB: Wafia dini hii haiwahusu Kabla ya kujiuliza kuwa kwanini Katika historia ya mtu mweusi Mwafrika wa leo ime/tumejikita sana kuanzia biashara ya utumwa. Ambayo ili ratibiwa vyema na Waarabu

Waafrika/Watu weusi ndio Waisraeli halisi, Ila sio kila Mtu mweusi ni Muisraeli

NB: Wafia dini hii haiwahusu

Kabla ya kujiuliza kuwa kwanini Katika historia ya mtu mweusi Mwafrika wa leo ime/tumejikita sana kuanzia biashara ya utumwa.

Ambayo ili ratibiwa vyema na Waarabu
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Kama nilivyowaambia kwamba hii dunia ina watu wake, tena asilimia kubwa ni Wayahudi. Hawa majamaa wana akili sana na wanaiendesha dunia wanavyotaka wao. Tunasema Waroma wana nguvu kubwa, ila nao wanapokea mambo kutoka kwa hawa majamaa. Yaani hawa ndio wanakupa utajiri, ndiyo

Kama nilivyowaambia kwamba hii dunia ina watu wake, tena asilimia kubwa ni Wayahudi.

Hawa majamaa wana akili sana na wanaiendesha dunia wanavyotaka wao.

Tunasema Waroma wana nguvu kubwa, ila nao wanapokea mambo kutoka kwa hawa majamaa.

Yaani hawa ndio wanakupa utajiri, ndiyo
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Ukweli usiosemwa NB: Hii ni ngumu kumeza Dunia ni tambarare na haizunguki yenyewe wala haizunguki jua bali jua na vitu vyote angani vinaizunguka dunia. Na milango yetu yote ya fahamu inatuambia hivyo maana jua tunaliona kila siku linavyotuzunguka, kwasababu tunaliona mizunguko

Ukweli usiosemwa

NB: Hii ni ngumu kumeza

Dunia ni tambarare na haizunguki yenyewe wala haizunguki jua bali jua na vitu vyote angani vinaizunguka dunia.

Na milango yetu yote ya fahamu inatuambia hivyo maana jua tunaliona kila siku linavyotuzunguka, kwasababu tunaliona mizunguko
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

“Nchini Japan fisadi hujiua mwenyewe. Nchini China fisadi hauawa. Ulaya fisadi hufungwa jela. Afrika, fisadi hujitokeza kugombea uchaguzi.” - Prof. PLO Lumumba

“Nchini Japan fisadi hujiua mwenyewe. Nchini China fisadi hauawa. 

Ulaya fisadi hufungwa jela. Afrika, fisadi hujitokeza kugombea uchaguzi.” 

- Prof. PLO Lumumba
Unite (@ifafricaunite) 's Twitter Profile Photo

Hivi unajua France alichokifanya baada ya kuondoka rasmi kwenye ukoloni wa Afrika? Well, Dr. Arikana Chihombori-Quao, Mwakilishi wa Kudumu wa Zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani kutoka Zimbabwe, anakwambia: "Ufaransa haikuondoka kabisa. Mwaka 1958 hadi 1961, Ufaransa

Hivi unajua France alichokifanya baada ya kuondoka rasmi kwenye ukoloni wa Afrika? 

Well, Dr. Arikana Chihombori-Quao, Mwakilishi wa Kudumu wa Zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani kutoka Zimbabwe, anakwambia:

"Ufaransa haikuondoka kabisa. Mwaka 1958 hadi 1961, Ufaransa
Helen Casanova | Seduction Palace (@helencasanova_) 's Twitter Profile Photo

1. WOMEN RESPOND TO EMOTION, NOT LOGIC Most men make the mistake of being logical texters. They state facts, ask direct questions, and think they’re building connection. But women are emotionally wired. They crave feelings, not just information. Your texts need to: • Trigger

Ascending Manhood (@ascendingmann) 's Twitter Profile Photo

Women LOVE Toxic men but they never admit it 12 Toxic Traits That Make You Irresistible to Women Apply this and become 300% more charming.

Women LOVE Toxic men but they never admit it

12 Toxic Traits That Make You Irresistible to Women

Apply this and become 300% more charming.
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Walio muua Yesu walikutana na nini? Hebu tufukunyue kidogo kwenye kitabu cha Biblia na hadithi zake za maisha ya watu mbalimbali. Leo hii hebu tucheki kuhusu wale watu waliomuua Yesu nini kilitokea kwenye maisha yao? Mtu wa kwanza kabisa kumcheki ni jamaa anayeitwa Pilato

Walio muua Yesu walikutana na nini?

Hebu tufukunyue kidogo kwenye kitabu cha Biblia na hadithi zake za maisha ya watu mbalimbali.

Leo hii hebu tucheki kuhusu wale watu waliomuua Yesu nini kilitokea kwenye maisha yao?

Mtu wa kwanza kabisa kumcheki ni jamaa anayeitwa Pilato
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

"With strong South Africa, stable Congo and democratic Nigeria, Africa will never be manipulated" Dkt Salim Ahmed Salim alipata kuniambia haya maneno miaka 20 iliyopita. South Africa weakens, DRC instability continues and Nigeria is still finding itself! Africa manipulation🤷🏿

𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Ukipata Muda Tazama Picha Hizi (10) Za Kusikitisha Zaidi Katika Historia. Hizi si picha tu, ni kumbukumbu halisi za maumivu, mateso, na hali ngumu ambazo zimewahi kutokea duniani. Tahadhari: Baadhi ya picha zinaweza kugusa hisia. Thread 🧵

Ukipata Muda Tazama Picha Hizi (10) Za Kusikitisha Zaidi Katika Historia. 

Hizi si picha tu, ni kumbukumbu halisi za maumivu, mateso, na hali ngumu ambazo zimewahi kutokea duniani.

Tahadhari: Baadhi ya picha zinaweza kugusa hisia. 

Thread 🧵
Zumbe Khan👑 (@zumbekhan) 's Twitter Profile Photo

Unapotumia WhatsApp, unawasiliana na dunia. Lakini je, unalinda taarifa zako vya kutosha.!? Watu wengi wanatumia WhatsApp kila siku lakini hawajui kuna mpangilio I mean settings Nne tu zinayoweza kubadili kila kitu.! Leo nakufumbua soma, elewa, chukua hatua.!! Shuka na uzi🧵⤵️

Unapotumia WhatsApp, unawasiliana na dunia. Lakini je, unalinda taarifa zako vya kutosha.!?

Watu wengi wanatumia WhatsApp kila siku lakini hawajui kuna mpangilio I mean settings Nne tu zinayoweza kubadili kila kitu.!

Leo nakufumbua soma, elewa, chukua hatua.!!

Shuka na uzi🧵⤵️