MICHAEL RAPHAEL (@michaelntary) 's Twitter Profile
MICHAEL RAPHAEL

@michaelntary

Accountant |Solopreneur|Business consultant|Retweets are not endorsements|wa.link/voinnt

ID: 1214317300381208577

calendar_today06-01-2020 22:46:41

8,8K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu anakupenda na anakukubali sana lakini ameua kupunguza mawasiliano na wewe na amekaa mbali na wewe kwa sababu unamchukulia poa na hauheshimu hisia zake.

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Shida sio kupata mchongo, shida ni ukipewa hiyo michongo do you deliver. Sio tu ku deliver, do you deliver the expected results ?!. Jitafakari.

Aneth (@anethsissya) 's Twitter Profile Photo

Ndani ya mwendokasi. Toka Morocco kuja kivukoni Wanapanda watoto wa kinondoni Muslim. Wanakaa kwenye siti. Anakuja mdada/mama Mama: watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa. Hamuwez kutupisha watu wazima siti? Mwanafunzi: njoo ukae. Wakasimam wawili kabisa. Mama: anatoa simu

Its God (@nigodmazee) 's Twitter Profile Photo

artins🇰🇪 It's not their lack of education that attracts good husbands, but their innate qualities that shine brighter than any degree. Their pure hearts, genuine kindness, and strength in the face of adversity make them irresistible. Education is important, but character is what truly

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

"Hebu angalia kati ya hiyo Corolla Spacio na Rav4 ipi itakufaa? Utakayoipenda chukua. Na ninatamani uchague gari ambayo haitakuwa liability kwako" Hayo ni maneno ya mteja wangu akinipa zawadi kwa kazi ambayo MATOKEO yake yamemgusa na kunibless ndinga. Issue ilianza hivi 🧵 👇🏾

"Hebu angalia kati ya hiyo Corolla Spacio na Rav4 ipi itakufaa? Utakayoipenda chukua. Na ninatamani uchague gari ambayo haitakuwa liability kwako"

Hayo ni maneno ya mteja wangu akinipa zawadi kwa kazi ambayo MATOKEO yake yamemgusa na kunibless ndinga.

Issue ilianza hivi 

🧵 👇🏾
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

Freeman Mbowe “Kila Nilipokuwa Nikitaka Kung'atuka Walikuwa Wakiniambia: 'Mwalimu Endelea Tu, Hii Nchi Ni Changa Na Umeitoa Mbali. Nchi Hii Haitaendelea Bila Wewe'. Nami Niliiendelea Hadi Pale Nilipokuja Kugundua Kumbe Nchi Changa Waliyoiongelea Ni Familia Zao.” :-Mwl. Julius Kambarage Nyerere

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Sijajua mmekunywa POMBE wangapi, sijajua mnaendelea kunywa pombe kiasi gani na wala sijui pesa za pombe mnapata kwa namna gani. Lakini, nipo hapa kuwaambia pombe itakurudisha nyuma kila siku wewe kama bado ni mpambanaji mdogo mdogo. Hakuna tajiri mlevi unless ameanza baada ya

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Sema huku Afrika TAMAA Na UBINAFSI vinatutesa saaana aiseee💔💔 Haiwezekani nchi ambayo AJIRA ni tatizo - vijana wengi 25-35yrs HAWANA AJIRA. Lakini kuna watu wanamiliki Kazi zaidi ya moja tena wameajiriwa serikalini… Unapata mtu mmoja ni mjumbe wa body

Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama

Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama