Felsian Michael
@michaelfelsian
Mwanaharakati mpenda Haki, muumini wa SHERIA & DEMOKRASIA
Mentor Fabrication Engineer
ID: 1418922009870876679
24-07-2021 13:12:50
835 Tweet
119 Takipçi
735 Takip Edilen
Anaandika Mhe. John Pambalu Jana nimetoka kumuona Mhe. Tundu Antiphas Lissu Gerezani. Anaendelea vizuri japo goti lake linamsumbua sana, "Jana nililazimika kutumia magongo, lakini ninaendelea vizuri", alitueleza Mhe. Lissu. Amesisitiza kuwa, Gereza ndiyo njia ambayo wapigania haki
"Tutakwenda hatua ngumu zaidi." Mhe. John Heche