Tumaini Makene (@mccaintumaini) 's Twitter Profile
Tumaini Makene

@mccaintumaini

Communications Strategies and Media Expert. Man of Letters. Concerned and active citizen. Liverpudlian! Views are my own. Retweets aren’t endorsements.

ID: 816930275049480192

calendar_today05-01-2017 08:52:10

10,10K Tweet

50,50K Takipçi

6,6K Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ni faraja kubwa kuona Boti ya Utafutaji na Uokoaji imeshushwa kwenye maji ili kuanza kazi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM (2020-2025) unaolenga kuimarisha usalama wa watumiaji wa ziwa hilo ambalo ni muhimu kwa uchumi na maisha ya wananchi.

Tumaini Makene (@mccaintumaini) 's Twitter Profile Photo

Simamia hapo hapo Chief Salim Kikeke. Songa mbele kaka. Hizi kelele za foreign funded political agente provocateurs na commercial activists, zinajulikana sasa. Haziwezi kumsumbua mtu yeyote anayejielewa! #KaziNaUtuTunasongaMbele #OktobaTunatiki #TanzaniaVotesOctober

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam 08 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam 08 Julai, 2025.
Tumaini Makene (@mccaintumaini) 's Twitter Profile Photo

Alivyomtukana, kumtweza utu wake na kumdhalilisha Archbishop Polycarp Kardinali Pengo, ulimuunga mkono. Alipoitwa laghai na kuwadi na Slaa pia uliunga mkono. Alipowatukana maaskofu wote wa KKKT na RC na kuwadhalilisha, pia uliunga mkono. Event driven for political expediency?

Yahaya Mjenga (@binjamiil) 's Twitter Profile Photo

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 Piga kazi zako Kaka, Achana na Siasa ambayo watu wengi wanacheza karata za Maslahi humo, Dini yenyewe ambayo iko strict Haswa na Masuala ya namna ya ku interact, haikuwahi kuzuia Kuwauzia Wasiokuwa Sisi sembuse Siasa?

mzee (@mzeemzee1662040) 's Twitter Profile Photo

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 Hizi chuki na kutwezana utu dhidi ya mtu na mtu hazifai. Hata kama tumetofautiana kiitikadi hatupaswi kutumia matusi wala kuwa na kampeni za kuchukiana. hata viongozi wakubwa wa vyama hivi ni marafiki wakubwa tu.

Tumaini Makene (@mccaintumaini) 's Twitter Profile Photo

Alisaidia hata wakati wa uzushi, upotoshaji, uongo na ulaghai mwingi wa Mkataba wa Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari ya Dar, kati ya TPA na DPW. Aliweka sawa kitaalam, ukweli kuwa bandari haijauzwa, ila Tanzania itanufaika na uwekezaji huo!

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Pitisha kijana wako kwenye mkondo wa Certificate ➡️ Diploma. Hakikisha anafanya kozi yenye vitendo ... mfano, upimaji ardhi, utaalamu wa umeme wa magari, automotive software engineering, machine tools, landscaping, oil and mining engineering Msisitizie ajibidiishe kufanya

FREE NATION. (@sangetison) 's Twitter Profile Photo

Patrick Ole Sosopi Namna ya kufanya ni kutafuta mazungumzo na aliyewashtaki na muondoe kesi la sivyo mtakuwa mnataka kuvunja sheria ama kwenda kinyume na Conservatory Order za mahakama

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo tumehitimisha safari tuliyoianza miaka miwili iliyopita kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ikiwa ni mara ya pili kwa Taifa letu kufanya hivi tangu Uhuru. Dira hii ni maoni ya wananchi wote ambapo kwa miaka 25

Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo tumehitimisha safari tuliyoianza miaka miwili iliyopita kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ikiwa ni mara ya pili kwa Taifa letu kufanya hivi tangu Uhuru. Dira hii ni maoni ya wananchi wote ambapo kwa miaka 25
Tumaini Makene (@mccaintumaini) 's Twitter Profile Photo

🤓😁😀🙌💪🫡🇹🇿🙏! What a poetry and artistically way to sum it up all, about the agenda of the day, that is really rocking our country and national political discourse. #KazinaUtuTunasongaMbele #OktobaTunatiki #TanzaniaVotesOctober

michelle. (@michkeenah) 's Twitter Profile Photo

reading was such a cornerstone of my childhood, so it breaks my heart that fewer children are reading for fun :( and will thus never experience the exhilaration that comes with staying up past your bedtime bc you can’t put a good book down