BABA ALICE
@mbowedevid65681
visit Kilimanjaro 🇹🇿|Biashara| Galatia Auto spare..🛺 &🏍️
ID: 1796629412147814400
31-05-2024 19:47:40
194 Tweet
18 Followers
264 Following
Hajamaliza Siku 100 tangu achaguliwe kuwa kiongozi wa Chadema (Siku 79 tu). Ana siku 19 tu tangu azindue Operation ya #NoReformsNoElection. Serikali ya Ccm imeshindwa kuhimili kasi ya Tundu Antiphas Lissu wamemkamata na tuna taarifa wanataka kumfungulia kesi mbaya isiyo na dhamana.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. M/Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche, atazungumza na vyombo vya habari leo saa 5 asubuhi mjini Songea katika Ofisi za Chama zilizopo eneo la Mfaranyaki. Katika mkutano huo, atatoa maelezo kuhusu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa..