Mubba (@mbaraka_nuru) 's Twitter Profile
Mubba

@mbaraka_nuru

M.Ed (Special Education/Visual Impairment)

ID: 3711203295

calendar_today19-09-2015 22:05:39

2,2K Tweet

168 Followers

398 Following

V E N N A📸 (@vennatz1) 's Twitter Profile Photo

OFFER🚨 Msimu huu wasikukuu jipatie stendi ya laptop kwa punguzo la bei kutoka bei ya kawaida Tsh 25,000/= , hivi sasa unaipata kwa Tsh 19,000/= Tu! Ofa hii mwisho ni tarehe 30/12/2024 Kama unahitaji nicheki Whatsapp 0758059332.

OFFER🚨

Msimu huu wasikukuu jipatie stendi ya laptop kwa punguzo la bei kutoka bei ya kawaida Tsh 25,000/= , hivi sasa unaipata kwa Tsh 19,000/= Tu!

Ofa hii mwisho ni tarehe 30/12/2024

Kama unahitaji nicheki Whatsapp 0758059332.
Mubba (@mbaraka_nuru) 's Twitter Profile Photo

Asante Airtel Tanzania kwa mrejesho huu. Tuma neno UTAPELI kwenda namba 15040 kuripoti namba inayofanya utapeli ifungiwe chap. Hii ndio njia pekee ya kuwadhibiti hawa majangili wa nchi kavu. Maulid Kitenge Peter Madeleka Vodacom Tanzania

Asante <a href="/airtel_tanzania/">Airtel Tanzania</a> kwa mrejesho huu.

Tuma neno UTAPELI kwenda namba 15040 kuripoti namba inayofanya utapeli ifungiwe chap.

Hii ndio njia pekee ya kuwadhibiti hawa majangili wa nchi kavu.

<a href="/mshambuliaji/">Maulid Kitenge</a> <a href="/PMadeleka/">Peter Madeleka</a> <a href="/VodacomTanzania/">Vodacom Tanzania</a>
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

RIYAD siku nikibahatika kumpata Mtoto wa Kike ambaye atakuwa ni Dada yako basi nitampa Ujumbe wangu muhimu sana, la hasha endapo sitobarikiwa Binti kwenye uzao wangu basi kwenye uzao wako nikipata Mjukuu wa kike kama nitakuwa hai ama nimekufa basi mwambie Babu yake niliwahi

RIYAD siku nikibahatika kumpata Mtoto wa Kike ambaye atakuwa ni Dada yako basi nitampa Ujumbe wangu muhimu sana, la hasha endapo sitobarikiwa Binti kwenye uzao wangu basi kwenye uzao wako nikipata Mjukuu wa kike kama nitakuwa hai ama nimekufa basi mwambie Babu yake niliwahi