Manolo (@manolo_majo) 's Twitter Profile
Manolo

@manolo_majo

2 TB 🧠 drive with 24 Valve

ID: 3235827575

calendar_today05-05-2015 12:58:29

5,5K Tweet

191 Takipçi

577 Takip Edilen

Manolo (@manolo_majo) 's Twitter Profile Photo

millardayo Kwamba Ayo mareporter wako hawaekewi kinachoendelea Nepal? Kwamba ww upo busy na CCM tu mengine hayakuhusu? Ipo siku utalipia hii

millardayo Kwamba Ayo mareporter wako hawaekewi kinachoendelea Nepal?

Kwamba ww upo busy na CCM tu mengine hayakuhusu?

Ipo siku utalipia hii
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Nepal limetangaza kurejesha mazungumzo na Makundi ya Vijana waliofanya Maandamano na kuiondoa Serikali madarakani, mazungumzo ambayo yanalenga kupata Serikali ya Mpito. Serikali ya nchi hiyo imejikuta katika wakati mgumu ambapo Vijana Waandamanaji (Gen Z) wamechoma

Jeshi la Nepal limetangaza kurejesha mazungumzo na Makundi ya Vijana waliofanya Maandamano na kuiondoa Serikali madarakani, mazungumzo ambayo yanalenga kupata Serikali ya Mpito.

Serikali ya nchi hiyo imejikuta katika wakati mgumu ambapo Vijana Waandamanaji (Gen Z) wamechoma
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina amefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, ambapo leo kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea.

Mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina amefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, ambapo leo kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hey Elon Musk Support please reinstate human rights defender @sativa255’s account. Sativa is a victim of political persecution. Silencing him is tantamount to silencing truth. #UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech

Hey Elon Musk Support please reinstate human rights defender @sativa255’s account. Sativa is a victim of political persecution. Silencing him is tantamount to silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Be very careful, I'm repeating again Elon Musk Support Premium, please unsuspend this account SATIVA17. 143K voices silenced. He is a human rights defender. Your platform should be for speaking up for the vulnerable, not suppressing them. This message is an appeal to Elon

Be very careful, I'm repeating again Elon Musk Support Premium, please unsuspend this account SATIVA17. 143K voices silenced. He is a human rights defender. Your platform should be for speaking up for the vulnerable, not suppressing them.

This message is an appeal to Elon
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

mwendokasi ni kielelezo kimoja kati ya vingi kwamba walioko madarakani hawana nia, uwezo wala mbinu za kutatua matatizo yanayowakabili w'nchi. these people want power for its own sake. their sole preoccupation ni kujitajirisha. hawawezi kuongoza, ufisadi tu ndiyo kitu wanaweza!

Francis (@sharb84) 's Twitter Profile Photo

Madenge (---) Onesmo Mushi anasema hili kila siku. Ukiangalia mikopo tulochukua ukifananisha na miradi ilojengwa haviendani. Mpina kuna wakati alikuwa anaongelea upigaji wa mabilioni na trilion Bungeni, watu tunamdharau. Ila ukifikiria kwa kutulia,kuna wizi wa hatari kwenye miradi.

Manolo (@manolo_majo) 's Twitter Profile Photo

EastAfricaTV Tutasaidiwa na wanajeshi wazalendo wenye mafunzo makubwa kuliko nyie vijaragosi wa mafisadi, hatuwaogipi, tutachoma sheri, magari, majumba ya mafisadi, hapo mnapandisha hasira za wananchi wala hamtutishi

Manolo (@manolo_majo) 's Twitter Profile Photo

Unalima tumbaku kwa 30Mil inanyesha mvua ya mawe unaambulia 2Miln..... Nyumba inakuwa nia akiba na kila mwaka kod inapanda haiwez ikawa 60K kwa miez 100 mfululizo. Town wajane na wazee wanaishi kupitia nyumba walizojenga wakiwa na nguvu.

Manolo (@manolo_majo) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Naheshim sana kizazi cha mtandao Gen-Z wakiamua jambo halishindikani. Wanacontrol Media(TV & Radio) Gen-Z wanatupilia mbali media zao wanapashana habari mtandaoni harafu sasa wakifanya action ni bomu la nuclear kwa watawala. October 29 tunaikomboa Tanganyika yetu

Maria Sarungi Tsehai Naheshim sana kizazi cha mtandao Gen-Z wakiamua jambo halishindikani. Wanacontrol Media(TV & Radio) Gen-Z wanatupilia mbali media zao wanapashana habari mtandaoni harafu sasa wakifanya action ni bomu la nuclear kwa watawala.

October 29 tunaikomboa Tanganyika yetu
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Rais wa Madagascar Andry Rajoelina kakimbia nchi baada ya Maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo yanayoongozwa na vijana. Kukimbia kwake kunatokana na uamuzi wa Jeshi la nchi hiyo kukataa kubeba silaa dhidi ya waandamanaji. JWTZ, mpooo?

BREAKING: Rais wa Madagascar Andry Rajoelina kakimbia nchi baada ya Maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo yanayoongozwa na vijana. Kukimbia kwake kunatokana na uamuzi wa Jeshi la nchi hiyo kukataa kubeba silaa dhidi ya waandamanaji. JWTZ, mpooo?