
MalisaGJ
@malisagj_
Award winning Philanthropist || SBC Specialist || Human Rights Activist || Simba SC Die Hard Fan
ID: 1035306942418309121
30-08-2018 23:23:05
564 Tweet
41,41K Takipçi
103 Takip Edilen


Makamu Mwenyekiti Chadema John Heche akihutubia watu wa Tarakea leo kuhusu #NoReformsNoElection


Maelfu ya wananchi wa Arusha wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche baada ya kumaliza kuhutubia mkutano leo jioni. Asanteni Arusha, hakika Kaskazini hatokagi fala. Msimamo ni uleule #NoReformsNoElection ✌️









Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche mishahara ya wabunge JPM aliacha 12.8M lakini ikaongezwa hadi 19M. Yani mbunge wako analipwa milioni 20 kasoro moja. Pia John Heche alieleza kwamba posho zimeongezwa kutoka 360,000/= kwa siku hadi 620,000/= kwa siku. Hapo ni







