Informatics🇹🇿 (@makamo10) 's Twitter Profile
Informatics🇹🇿

@makamo10

Mtanzania

ID: 2739089240

calendar_today17-08-2014 05:34:29

12,12K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Utagundua kitu. Ijumaa ikifika kuna wamama na watu wa hali ya chini wanajaa kwenye misikiti kuomba misaada. Ni tofauti na Jumapili Mwezi wa Ramadan ukifika watu wanakula bure kwa kusaidiana. Ni tofauti na Kwaresma Waislam wanajitoa sana ktk kusaidia, huo ndio ukweli.👍

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Nashiwishika kusema kuna waliomchumkia Rais Magufuli kwa sababu ya kuwa autocratic, lakini wengi zaidi walimchukia kwa sababu kama za Wamasai. Binafsi bado natilia mashaka kifo chake, sitoshangaa siku moja nikisikia uhai wake ulihitimishwa na wale wa kundi la pili.

Nashiwishika kusema kuna waliomchumkia Rais Magufuli kwa sababu ya kuwa autocratic, lakini wengi zaidi walimchukia kwa sababu kama za Wamasai. 

Binafsi bado natilia mashaka kifo chake, sitoshangaa siku moja nikisikia uhai wake ulihitimishwa na wale wa kundi la pili.
Informatics🇹🇿 (@makamo10) 's Twitter Profile Photo

Unawasimulia watoto , upendo wa rais na uchapakazi alionesha kwa dhati juu ya watanzania ... BABA MAGUFULI , Baba wa UCHUMI x.com/arusha_icon/st…

Mudryk Jr (@mudryk_jr) 's Twitter Profile Photo

MAMBO KUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.✨ Thread 🧵 1. Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani. 2. Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na

MAMBO KUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.✨

Thread 🧵

1. Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani.

2. Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na
East African Community (@jumuiya) 's Twitter Profile Photo

The EAC Secretariat wishes to inform all our stakeholders that the Partner States' journey to a single currency is still a work in progress. Kindly ignore any rumours circulating in social media on the unveiling of new banknotes for the region.

The EAC Secretariat wishes to inform all our stakeholders that the Partner States' journey to a single currency is still a work in progress. Kindly ignore any rumours circulating in social media on the unveiling of new banknotes for the region.
Informatics🇹🇿 (@makamo10) 's Twitter Profile Photo

BABA WA UCHUMI , TANZANIA PUMZIKA ULITUPENDA SANA WATANZANIA NA NCHI YENYEWE ... MUNGU AKUONDOLEE ADHABU YA KABULI .. JPM RAIS WA TANO TANZANIA

BABA WA UCHUMI , TANZANIA PUMZIKA ULITUPENDA SANA WATANZANIA NA NCHI YENYEWE ... MUNGU AKUONDOLEE ADHABU YA KABULI .. JPM RAIS WA TANO TANZANIA
Ms Bee🌹 (@mrsdaviee) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wa marangu, rombo, kilema, marangu juu, marangu mamba, mwika, uchira, wanajua kufanya kazi kwa bidii jitahidi upate mmoja kutoka kwenye hayo maeneo

Wanawake wa marangu, rombo, kilema, marangu juu, marangu mamba, mwika, uchira, wanajua kufanya kazi kwa bidii jitahidi upate mmoja kutoka kwenye hayo maeneo
CHURA WA GOLIGOTHA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact) 's Twitter Profile Photo

Leo wacha nikujuze Kidogo kuhusu BEN SAANANE Kijana mwenye akili aliyeponzwa na kujua mambo mazito kaa rada nikujuze kistaarabu,Ben alikua mmoja wa maafisa waandamizi wa CHADEMA ambaye alibahatika kuwa na Siri Kuu za chama. Ni katika siri hizi ndizo zilizoweka rehani maisha yake.

Leo wacha nikujuze Kidogo kuhusu BEN SAANANE
Kijana mwenye akili aliyeponzwa na kujua mambo mazito kaa rada nikujuze kistaarabu,Ben alikua mmoja wa maafisa waandamizi wa CHADEMA ambaye alibahatika kuwa na Siri Kuu za chama. Ni katika siri hizi ndizo zilizoweka rehani maisha yake.
Informatics🇹🇿 (@makamo10) 's Twitter Profile Photo

Tutawaambia nini Wajukuu zetu , juu ya hili kuwa huyo ni mke wa rais dah .. wajukuu mkiona hii post wapuuzeni hatukuwa wote wajinga bali hao matumbo yaliwaponza

Tutawaambia nini Wajukuu zetu , juu ya hili kuwa huyo ni mke wa rais dah .. wajukuu mkiona hii post wapuuzeni hatukuwa wote wajinga bali hao matumbo yaliwaponza