komando (@maandamano1) 's Twitter Profile
komando

@maandamano1

let's hustle together and reach success together ,lets our hustle speak louder than our mouth , join the team of (FHT) FOREVER HUSTLER'S TANZANIA πŸ“Œone love ❀️

ID: 1514490006626357249

calendar_today14-04-2022 06:25:59

1,1K Tweet

193 Followers

394 Following

KING ASSENGA (@assengapn) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa kahama Mmetisha sana πŸ”₯πŸ”₯ Licha ya vikwazo vyote tulivyopitia πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›βœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈ

Wanangu wa kahama 
Mmetisha sana  πŸ”₯πŸ”₯
Licha ya vikwazo vyote tulivyopitia πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›βœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈ
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Leo naikumbuka; Jumatatu, Oktoba 13, 2008 (miaka 17 iliyopita) Mwaka ambao alifariki mbunge wa Tarime (kabla ya kugawanywa kuwa majimbo mawili) pia alikuwa ni Diwani wa kata ya Tarime Mjini Chacha Zakayo Wangwe Chacha Zakayo Wangwe alifariki kwa inayoelezwa ni ajali ya gari,

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

"Msajili wa Vyama Vya Siasa amempangia Lembrus Mchome Apartment huko Masaki na Serikali imempa walinzi wa kumlinda kila mahali anapoenda."-: Mhe. Boniface Jacob

"Msajili wa Vyama Vya Siasa amempangia Lembrus Mchome Apartment huko Masaki na Serikali imempa walinzi wa kumlinda kila mahali anapoenda."-: Mhe. <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a>
KING ASSENGA (@assengapn) 's Twitter Profile Photo

Tukiendelea kuchelewa , subiri subiri, mabadiliko ni mchakato sijui sijui. Tutaachiwa nchi isiyoendesheka . Wananchi tuchukue udhibiti wa Tanganyika yetu mapema. Wote tuseme #NoReformsNoElection #FREELISSU .

Tukiendelea kuchelewa , subiri subiri, mabadiliko ni mchakato sijui sijui. Tutaachiwa nchi isiyoendesheka . Wananchi tuchukue udhibiti wa Tanganyika yetu mapema. Wote tuseme #NoReformsNoElection 
#FREELISSU  .
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Tanzania katika bajeti ya 2025/26 imependekeza kuanzisha tozo mpya kwa magari yanayoingizwa nchini pamoja na mitambo mikubwa. Bajeti hiyo imesomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, kwamba magari yote yanayoagizwa kutoka nje yatatozwa kulingana na ukubwa

Serikali ya Tanzania katika bajeti ya 2025/26 imependekeza kuanzisha tozo mpya kwa magari yanayoingizwa nchini pamoja na mitambo mikubwa.

Bajeti hiyo imesomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, kwamba magari yote yanayoagizwa kutoka nje yatatozwa kulingana na ukubwa
KING ASSENGA (@assengapn) 's Twitter Profile Photo

kututetea kote . Kwa kila Hali hakukata tamaa Akapigwa Risasi zaidi ya 16. Wengi hakuna tulichofanya kumpa moyo Bado hakukata tamaa . Bado tena tumemwacha mikononi mwa magereza kama mhalifu bado hajakata tamaa . Hakika hili ndio Deni kubwa zaidi la Taifa 😭😭

kututetea kote . Kwa kila Hali hakukata tamaa 
Akapigwa Risasi zaidi ya 16.
Wengi hakuna tulichofanya kumpa moyo Bado hakukata tamaa .  Bado tena tumemwacha  mikononi mwa magereza kama mhalifu bado hajakata  tamaa . Hakika hili ndio Deni kubwa zaidi la Taifa  😭😭
KING ASSENGA (@assengapn) 's Twitter Profile Photo

Haya mitano tena 😭😭😭😭 Haya mitano tena 😭😭😭😭 Haya mitano tena 😭😭😭😭 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Kura labda muipigishe maiti yangu Haya wapitisheni wazidi kuuwa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Haya mitano tena 😭😭😭😭
Haya mitano tena 😭😭😭😭
Haya mitano tena 😭😭😭😭 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kura labda muipigishe maiti yangu 
Haya wapitisheni wazidi kuuwa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

FAM daima amekuwa mpatanishi, ndani ya Chama na hata katika masuala ya Taifa. Huo ndio wito wake – ndiyo hulka yake. Lakini cha kusikitisha, wale waliopaswa kusikia na kuelewa wamejifunga kifikra. Wamejizima data. Wanakataa uhalisia, kana kwamba hawamfahamu FAM! Swali;

KING ASSENGA (@assengapn) 's Twitter Profile Photo

πŸ“ŒπŸ“ŒTANGANYIKA NI NCHI YETU NA VILIVYOMO NI VYETU . Watanganyika sisi ni familia Moja na hatujazaliwa Tanganyika kwa bahati mbaya kama ambavyo hatujazaliwa kwenye familia zetu kwa bahati mbaya. Ndugu zangu watanganyika . Kwenye mlima Kilimanjaro tunaingiza

πŸ“ŒπŸ“ŒTANGANYIKA NI NCHI YETU NA VILIVYOMO NI VYETU .
        
    Watanganyika sisi ni familia Moja  na hatujazaliwa Tanganyika  kwa bahati mbaya kama ambavyo  hatujazaliwa  kwenye familia zetu kwa bahati mbaya. 

Ndugu zangu watanganyika  .  Kwenye mlima Kilimanjaro tunaingiza
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

RAIA WA KENYA ATEKWA DAR ES SALAAM....! Raia wa Kenya Bwana Mwabili Mwagodi ambaye pia ni mfanyakazi wa AMANI BEACH HOTEL iliyopo wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam ametekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 23 July 2025. Kwa mujibu wa Dereva wa pikipiki iliyo

RAIA WA KENYA ATEKWA DAR ES SALAAM....!

Raia wa Kenya  Bwana Mwabili Mwagodi  ambaye pia ni mfanyakazi wa  AMANI BEACH HOTEL iliyopo wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam ametekwa na  watu wasiojulikana usiku wa tarehe 23 July 2025.

Kwa mujibu wa Dereva wa pikipiki iliyo
KING ASSENGA (@assengapn) 's Twitter Profile Photo

USIWAACHE KAMWE WA FURAHIE UDHALIMU WAO . PITA KWENYE FAMILIA ZAO PITA KWA WATOTO WAO KANSA AWE JIRANI YAO . MARADHI MAKUBWA YAWE KIVULI CHAO . LAANA MIKOSI NA MABALAA NDIO KIWE CHAKULA CHAO FURAHA KWAO IADIMIKE KULIKO KAWAIDA KIUFUPI MLAANIWE MILELE . MLAANIWE

USIWAACHE KAMWE WA FURAHIE UDHALIMU WAO .  PITA KWENYE FAMILIA ZAO PITA KWA WATOTO WAO  
KANSA AWE JIRANI YAO  .    MARADHI MAKUBWA YAWE KIVULI CHAO  . LAANA MIKOSI NA MABALAA  NDIO KIWE CHAKULA CHAO  FURAHA KWAO IADIMIKE KULIKO KAWAIDA    KIUFUPI    MLAANIWE MILELE . MLAANIWE