PLANET B (@m31327mugisha) 's Twitter Profile
PLANET B

@m31327mugisha

ID: 1885921662367068160

calendar_today02-02-2025 05:23:20

758 Tweet

48 Takipçi

168 Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

BADO SIKU 11 TULIKOMBOE HILI TAIFA. Hizi siku 11 VITISHO vinaendelea na vitasikika kil kona. USIKUBALI KUTISHIKA WALA KUNUNUA WOGA. Tunayo siku 1 tuu ya kufanikisha kulikomboa taifa hili ambalo lipo mikononi mwa WATEKAJI na watu wasio jali HAKI zetu. 29.10 TUTOKE KWA WINGI

BADO SIKU 11 TULIKOMBOE HILI TAIFA.

Hizi siku 11 VITISHO vinaendelea na vitasikika kil kona.

USIKUBALI KUTISHIKA WALA KUNUNUA WOGA. 

Tunayo siku 1 tuu ya kufanikisha kulikomboa taifa hili ambalo lipo mikononi mwa WATEKAJI na watu wasio jali HAKI zetu.

29.10 TUTOKE KWA WINGI
Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Kuongozwa na mtu kama Gerson Msigwa ni fedheha kwa Taifa. Fikiria serikali kupitia kwake inasema mtu akitekwa, kama hajapatikana wao wafanye nini ,ivi kweli? Sasa kwani, serikali kazi yake ni nini kama si kulinda usalama wa wananchi wake? Kauli kama hizi zinaonesha ni kwa nini

Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Kwamba mkichukua pasi zetu za kusafiria mnadhani mmetukomoa sana ,kweli? Mnazuia kiongozi wa chama kusafiri, hata kuenda kuhudhuria mazishi, mnakuwa mnajisikiaje? Mnafaidika na nini haswa kwa kumweka mtu kizuizini kwenye jambo la kibinadamu kama hili? Yaani mtu anawaambia anaenda

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nimezuiliwa hapa mpakani, wanataka kunichukua bila kufuata utaratibu. Sina kosa lolote, hata aliechukua passport yangu hajaniambia nina kosa gani. Watanzania Tusikubali Nchi yetu kuendeshwa bila kufuata sheria. Nchi bila kufuata sheria ni hatari kwa kila mtu.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kwa ukatili huu anauonyesha dhidi ya watanganyika, mtu aliyeniambia huyu ni mjukuu wa Tippu Tip naanza kumwamini! Huu si ubinadamu - na anafurahia ukatili anatuona ka si binadamu! Future anayoandalia ukoo wake wa kizanzibari ni mbaya sana Ila #TutaelewanaTu

Kwa ukatili huu anauonyesha dhidi ya watanganyika, mtu aliyeniambia huyu ni mjukuu wa Tippu Tip naanza kumwamini! 
Huu si ubinadamu - na anafurahia ukatili anatuona ka si binadamu!
Future anayoandalia ukoo wake wa kizanzibari ni mbaya sana 
Ila #TutaelewanaTu
Hamadi.Mbeyale🔥🔥 (@hamadchadema) 's Twitter Profile Photo

#Updates Nimepokea taarifa usiku huu wa saa 6:15 kuwa polisi wamevamia nyumbani kwa mwanachama wetu ndugu CHISANO wa kijiji cha Mchangani kata ya Isongole wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya na kuondoka naye bila maelezo yoyote. Hata hivyo tunaendelea kufuatilia zaidi na tutawajuza.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Katika wakati tuliomo, kuna aina mbili tu za uamuzi ambao binadamu anaweza kufanya: 1. Kukaa kimya na kunyamazia maovu yote. Watu watekwe,wapotezwe na kuuwawa bila kosa, ufisadi, uonevu na kunyanyasa watu. Uamuzi wa kwanza unaweza kukufanya ukajiona uko salama kwa mda lakini

PLANET B (@m31327mugisha) 's Twitter Profile Photo

Uhamiaji ni majangili na ningekuwa ni Raisi huyo mkuu wankituo cha uhamiaji Silali ninge mwajibisha kwa kuleta taaluki isiyo ya lazima. Hii Nchi ina viongozi wajinga hawajaelimika. Mtu kafata utaratibu mkamnyang'anya paspoti yake bila kosa lolote alafu mnasema hakufata utaratibu