Suzzie🙏 (@lyaruusuzzie) 's Twitter Profile
Suzzie🙏

@lyaruusuzzie

counting Blessing🙏Lord I'm grateful🙏🙏

ID: 1675797933462093826

calendar_today03-07-2023 09:26:26

1,1K Tweet

451 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina.🙏

Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina.🙏
Bixen (@heisbixen) 's Twitter Profile Photo

Sulemani Aliomba Hekima Na Mungu Akamuongezea Utajiri. Ibrahimu Aliomba Mtoto Na Mungu Akampa Vizazi. Mungu Akupe Zaidi Ya Uombavyo Usiache Kuamini.

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo! Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo! Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi! Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu! Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Kila unaemuona amepiga hatua kuna bahati aliipata ikawa kama fursa kwake na akaitumia vizuri and vise versa is true. Hiyo bahati huenda ni Mtu, Kitu, Dhamana, Maono au Wakati. Kama bado hujaipata nafasi yako basi Muombe sana Mungu akupe jicho la kuiona uweze kuitumia ipasavyo.

Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Ugonjwa wa kudumu wa figo unatesa watu wengi; Sababu kuu ni magonjwa ikiwemo kisukari na shinikizo la damu. Ugonjwa unapoanza mara nyingi unaweza usiwe na dalili hivyo unaweza kugunduliwa kwa vipimo katika damu au mkojo. Baadhi ya dalili za ugonjwa wa figo: - Kukosa hamu ya

Ugonjwa wa kudumu wa figo unatesa watu wengi;

Sababu kuu ni magonjwa ikiwemo kisukari na shinikizo la damu.

Ugonjwa unapoanza mara nyingi unaweza usiwe na dalili hivyo unaweza kugunduliwa kwa vipimo katika damu au mkojo.

Baadhi ya dalili za ugonjwa wa figo:
- Kukosa hamu ya
FRANCIS ❖91688❖ (@inframe_tz) 's Twitter Profile Photo

To My Fellow Man, + Hakikisha U N A J I J A L I. + Hisia Zisikuendeshe kabisa, + Fanya Maamuzi ukiwa Umetulia, + Punguza Kuongea sana, + Ongeza Umakini wako, 💯 i Guarantee YOU, Hakuna anayejali kuhusu lolote wala, Chochote kukuhusu wewe... Take care, Of Yourself every

Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

JE..? WAJUWA....? Kula vitunguu mara kwa mara kunaweza kupunguza kiwango chako cha cholesterol Katika mishipa ya damu. Na kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (stroke) pamoja na saratani. NB: Unaweza kukitafuna kibichi au kama kiungo chenye ladha katika milo yako.

JE..? WAJUWA....?

Kula vitunguu mara kwa mara kunaweza kupunguza kiwango chako cha cholesterol Katika mishipa ya damu. 

Na kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (stroke) pamoja na saratani. 

NB: Unaweza kukitafuna kibichi au kama kiungo chenye ladha katika milo yako.
Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Umuhimu na Faida Kuu za Vitunguu Swaumu 🧄. 1. Inaimarisha na Kuboresha kinga yako ya mwili. 2. Inapunguza Hatari na uwezekano wa Kupata Cancer. 3. Kuimarisha Afya ya Moyo! 4. Inaimarisha Mzunguko wa Damu! Pia, swaumu Zina Vitamin C, Madini ya Calcium na Garlic also has

Umuhimu na Faida Kuu za Vitunguu Swaumu 🧄.

1. Inaimarisha na Kuboresha kinga yako ya mwili.

2. Inapunguza Hatari na uwezekano wa Kupata Cancer.

3. Kuimarisha Afya ya Moyo!

4. Inaimarisha Mzunguko wa Damu!

Pia, swaumu Zina Vitamin C, Madini ya Calcium na Garlic also has
RasoulHK🍁 (@rasoulhk) 's Twitter Profile Photo

📍FAHAMU MAJINA YA ASILI YA KABILA LA WACHAGGA. ➠Ep 2 Stori Thread🧵🧵 📍Kutokana na kukua kwa teknolojia kumepelekea kusahaulika kwa tamaduni zetu hasa kwa asilimia kubwa sisi Watanzania. ➠Hii imetokana na imani zetu na dini zetu kulazimisha majina ya tamaduni za

📍FAHAMU MAJINA YA ASILI YA KABILA LA WACHAGGA.

➠Ep 2

Stori Thread🧵🧵

📍Kutokana na kukua kwa teknolojia kumepelekea kusahaulika kwa tamaduni zetu hasa kwa asilimia kubwa sisi Watanzania.

➠Hii imetokana na imani zetu na dini zetu kulazimisha majina ya tamaduni za
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi zaidi. . Kwa wastani mzunguko wa hedhi nisiku 28, Mzunguko wa hedhi unaanza kuhesabiwa kuanzia siku ya kwanza mwanamke anapoanza ku bleed. . Kwa kawaida idadi ya

Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi zaidi.
.
Kwa wastani mzunguko wa hedhi nisiku 28, Mzunguko wa hedhi unaanza kuhesabiwa kuanzia siku ya kwanza mwanamke anapoanza ku bleed.
.
Kwa kawaida idadi ya
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Asante Bwana kwa kuendelea kuwa na sisi kila siku. Leo ni siku ya mwisho ya week umekuwa na sisi kila siku tunasema asante bwana. Tunaleta biashara zetu asubuhi hii. Kazifunike na mkono wako. Katembelee walioko magereza, haki ya kweli wakaipate. Endelea kulikda watoto wetu🙏🏾.

Asante Bwana kwa kuendelea kuwa na sisi kila siku.

Leo ni siku ya mwisho ya week umekuwa na sisi kila siku tunasema asante bwana.

Tunaleta biashara zetu asubuhi hii. Kazifunike na mkono wako.

Katembelee walioko magereza, haki ya kweli wakaipate.

Endelea kulikda watoto wetu🙏🏾.
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Sisi kama binadamu kupishana kauli ni jambo la kawaida, lakini kuvunjiana heshima si jambo la kawaida kabisa..! Umeamka salama Comment (God is Good) endapo upo na afya njema..🩺