Editha (@sistereditha) 's Twitter Profile
Editha

@sistereditha

Family doctor and mother of children.

ID: 1604834480371470342

calendar_today19-12-2022 13:42:25

5,5K Tweet

665 Takipçi

669 Takip Edilen

Ford Sony (@ford_sony5) 's Twitter Profile Photo

Ogopa yule mtu anayetaka kuonekana mwema nje ya familia yake jua huyo mtu ndani yake ni katiri na ni hatari mnooooo Acha nichume mafyulisi

Ogopa yule mtu anayetaka kuonekana mwema nje ya familia yake jua huyo mtu ndani yake ni katiri na ni hatari mnooooo
Acha nichume mafyulisi
kibaha_finest (@kibaha_finest) 's Twitter Profile Photo

Naomba sapoti yako mwanangu. Jezi zipo ni wewe tu nipigie simu hata uulizie kama jezi una iitaji alagu sijaipost jezi zipo na kama hamna dukani nakutafutia nakutumia Piga simu 0743476365 au 0766226825 uje kariakoo tupoge hata story. Maisha ndo haya haya mwanangu.🙏

Naomba  sapoti yako mwanangu.

Jezi zipo ni wewe tu nipigie simu hata uulizie kama jezi una iitaji alagu sijaipost jezi zipo na kama hamna dukani nakutafutia nakutumia

Piga simu 0743476365 au 0766226825 uje kariakoo  tupoge hata story.

Maisha ndo haya haya mwanangu.🙏
chuga girl❣️ (@lizzie36021) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 119:19 Mimi ni mgeni katika nchi, Usinifiche maagizo yako. Mungu Kwanza.Siku yako imebarikiwa kwa jina la Yesu Good morning familia😍

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Watu waliokuwa JKT baadhi yao wameanza kurudi nyumban mikataba yao imeisha, Inauma sana kukaa kule miaka miwili alafu urudi nyumban kuanza upya sio mchezo. Karibuni sana mtaani tuendelee na mapambano.

Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei 27,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍

👉Size S_______2XL
👉Bei   27,000/=

Wa.me/+255717251747
Au 0714336827

👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Dr SALUMU (@dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

Ile umeamka tu Ahsubuhi unaambiwa Unga umeisha, Mchele umeisha, Gesi nayo imekata, Mungu aendelee kusimama na wanaume wote Ulimwenguni.

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu. Yn 15:4 SUV

Mchachu, PhD🐐 (@mchachu_) 's Twitter Profile Photo

Ukiondoka Pesa kwenye mahusiano, Wanawake wengi hawatoona umuhimu wa kuwa kwenye mahusiano. Kama ilivyo wanaume kwenye sex.🤞🏿

Chapeo Ya Wokovu (@chapeoyawokovu) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa ndugu mwanamume au ndugu mwanamke yu uchi na kupungukiwa na riziki, na mtu wa kwenu akawaambia, Enendeni zenu kwa amani, mkaote moto na kushiba, lakini asiwape mahitaji ya mwili, yafaa nini? Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake. Yakobo 2:15-17

Mkanaani 🇮🇱🇹🇿 (@mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Hakika ukikutana na Yesu Kristo hutabaki jinsi ulivyo Kama ulikuja na hasira utaondoka na amani kama ulikuja na hofu utaondoka na ujasiri haijalishi mahali ulipo

Ford Sony (@ford_sony5) 's Twitter Profile Photo

Usiwaulize wao jiulize wewe wao walipambania kile waliamini kitawapa matokeo mazuri na makubwa Ni zama yako kuamua kupambania au kuendelea kuwa mtumwa

goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA leo nimekaa home nimewaona madogo wanavyomjibu hovyo bimkubwa adi nimeshangaa. Wangemkuta enzi zake ana NGUVU huyu MWANAJESHI wangefurahi na ROHO zao mana alikuwa hachagui SILAHA,fagio twende,mwiko twende,sufuria twende yaani chochote kilichokaribu nae.😂😂😂😂