𝑷𝒉𝑫 π‘­π’‚π’Šπ’π’–π’“π’† 𝑴𝑩𝑬 (@lugano2019) 's Twitter Profile
𝑷𝒉𝑫 π‘­π’‚π’Šπ’π’–π’“π’† 𝑴𝑩𝑬

@lugano2019

Educator, Mentor, Farmer, Activist, Modern Pan Africanist, Artist,Content Creator

ID: 1171529042173906944

calendar_today10-09-2019 21:01:38

7,7K Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

𝑷𝒉𝑫 π‘­π’‚π’Šπ’π’–π’“π’† 𝑴𝑩𝑬 (@lugano2019) 's Twitter Profile Photo

Wajukuu zangu Young Africans SC YangaWhatsapp_MakaoMakuu Privaldinho Ali Kamwe Yamewashinda kwa Nabi. Wametema bungo usiku huu wakisubiri madhabiki wakiwa na usingizi machoni🀣🀣ili taarifa waamke nayo asubuhi. Kumbeni mlilaghai mashabiki wenu kuwa alisaini mkataba wa miaka miwili.

Nilitegemea huyu mjuu wangu lazima ahusishwe na hawa nyoka nyoka fc. Ni kawaida kwa hivi vilabu kuhifadhiwa na watu wa nanmna hii ya Minziro kutoa faraja baada ya kufedheheshwa na makocha wa kigeni. ....

𝑷𝒉𝑫 π‘­π’‚π’Šπ’π’–π’“π’† 𝑴𝑩𝑬 (@lugano2019) 's Twitter Profile Photo

Wajukuu zangu....mnajibaraghuza na kujiongelesha.....sawa, wajukuu zangu mashabiki wa 🐸 🐸 ni hamnazo...lakini kun wakati hata saa mbovu inakuwa timamu.....kuna siku mtashindwa pa kutokea mtachezea mabanzi Ali Kamwe Privaldinho Taarifa za propaganda huwa zinaganda.

𝑷𝒉𝑫 π‘­π’‚π’Šπ’π’–π’“π’† 𝑴𝑩𝑬 (@lugano2019) 's Twitter Profile Photo

500million kituo cha Afya...... Kwenye Bandari ni matrilioni walahi!! Ebu vuta picha kwenye kituo cha Afya watu wanemega milion 500 kifisadi,unaposikia ufisadi wa Bandari can you Imagine ni unaweza kuwa ufisadi wa Tsh: ngapi? Eehh Mungu tusaidie

𝑷𝒉𝑫 π‘­π’‚π’Šπ’π’–π’“π’† 𝑴𝑩𝑬 (@lugano2019) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa INNOCENT CORNEL SAHANI jina la Sanaa Dnob. Alizaliwa 12/02/1980, Tabora, shule ya msingi alianzia Mtwara na kumaliza kipawa Dar es salaam, O-level pale Pugu sec na A-level Jitegemee sec. Ni mwaasisi wa hii bongo fleva JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi inafaa ufanye nae session huyu MC. Please

Anaitwa INNOCENT CORNEL SAHANI jina la Sanaa Dnob. Alizaliwa 12/02/1980, Tabora, shule ya msingi alianzia Mtwara na kumaliza kipawa Dar es salaam, O-level pale Pugu sec na A-level Jitegemee sec.
Ni mwaasisi wa hii bongo fleva JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi inafaa ufanye nae  session huyu MC.
Please